GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 2,017
- 7,406
Jirani...huwa nasikiliza music nikiwa in love or broken hearted. Sasa siku hizi nipo hapo kati kama nunda vile...sijasikiliza muda mrefu😄Demi unaendeleaje jirani yangu? Sikuizi husikilizi tena miziki au ndio ubusyView attachment 3542790
Pole sana kaka nyumbani au ofisini Vincenzo JrMbaya kaka niliibiwa
Kwahiyo saivi hauko inlove kabisaa 😂Jirani...huwa nasikiliza music nikiwa in love or broken hearted. Sasa siku hizi nipo hapo kati kama nunda vile...sijasikiliza muda mrefu😄
Am not😄Kwahiyo saivi hauko inlove kabisaa 😂
NyumbaniPole sana kaka nyumbani au ofisini Vincenzo Jr
Goma kali sana
Thank youuuu
Pole sana kaka jitahidi ufuge hata pitbull terriers watatu huo uwezo unao Vincenzo Jr mimi ninao hawa shepherd ila naona saivi wamekuwa wazembe. Ila pia jitahidi home pasikosekane mtu.Nyumbani
Na hili jua? Akili itaruka 😂Depal unaonaje tukimoka leoView attachment 3543239
Karibu tumalizie 😎Unakaribia kumaliza Flying fish backet ya pili 😂 dosho12 View attachment 3543740
Em tuone 😂Karibu tumalizie 😎