SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Huu unaupata?
IMG_0085.png

Unataka masaji wakati we mwenyewe sauna 🔥
 
Watoto wanapenda asali 😉😍
Watoto hawapendi ukali 😂😂

Nilikuwa nawapenda sana team WEUSIII
Hadi G nako akawa crush 🤣🤣🤣
🎶Mara nataka iphone nikakanunulia apple kakatafuna kisha nikakatafuna 🎶 mi huwa napenda huu mstari 😁
 
hivi karibu nyimbo zote za weusi zilikuwa zinapigwa beat na nahrel si ndio
Sio zote, katengeneza chache. Nyingi zimetengenezwa na producers tofauti tofauti kama Luffa, Paul maker, ammy wave, wanene, goncha, s2keezy, bugalee
 
Back
Top Bottom