SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Screenshot_20260115-100041_1.jpg
 
Motal combat nimeicheza kipindi cha ps1 kitambo hicho kumshinda guru ilikuwa balaa. Nlikuwa namtumia san raiden au liu kang sijui kan
Mi namtumia sana scorpion na lile kubwa linaitwa khan kwenye story ni baba yake na kile kisichana anachokipenda luo kang
 
Back
Top Bottom