SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Hujalisahau na afu Unanikumbusha mbalii na hilo jina 😂
Kuna katoto ka rafiki angu nilikuwa nakapendaaa, na kenyewe kamenizoea.. Sasa hakawezi kuita jina langu ndio kakawa kanaishia kuita Chilitaa …

#Chiquitita tell me what’s wrong…
😂 kwahiyo saivi katoto kamekuwa kanakuitaje?
 
The night we met ♥️

Nipumzishe fuvu Sasa 😴😴
 

Attachments

  • Screenshot_20260219-213606_1.jpg
    Screenshot_20260219-213606_1.jpg
    9.3 KB · Views: 14
Back
Top Bottom