SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

nshafika😃, nimeshakaa makorora, sahare, kutembea nimetembe sehemu nyingi tu, umejuaje kama Dosho ni jina la huko,
Niliwahi kununua mashamba huko Maramba, Tanga kwaajili ya kuotesha pilipili manga na iliki. Sasa kuna jamaa mmoja ni mkinga anaitwa dosho kama wewe ndio alikuwa ananionesha maeneo mpaka akaja kunifikisha milima ya Amani. Ila anapenda hela huyo na mjanja mjanja sana. Mwanzo nilihisi niwewe
 
Unajuaje kama sio mimi 😁
 
Ni yeye dosho12 anapenda sana hela😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…