Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 7,349
- 21,802
Kwahiyo huwa unatumia app gani kustream music? Nataka niwe nakulipia kila mwezi uburudike.Mm flavour maalum sina ila nyimbo za mapenz zinanipendeza aisee
Kwahiyo huwa unatumia app gani kustream music? Nataka niwe nakulipia kila mwezi uburudike.Mm flavour maalum sina ila nyimbo za mapenz zinanipendeza aisee
Simu yang gb chache hivo nikiingiza app nying inajaa hivo nikihiyaj nyimbo nadownload nikiichka nafuta😂Kwahiyo huwa unatumia app gani kustream music? Nataka niwe nakulipia kila mwezi uburudike.
Huo uongo aisee ila nikuongezee shs ngap ukamenye mpya dukani?32😂😂
😂😂Ni kweli kabisa gb chache sana na imejaa tayarHuo uongo aisee ila nikuongezee shs ngap ukamenye mpya dukani?
Nimekuelewa, ukiuza hiyo mimi nikuongezee kiasi gani ili ununue tambo jipya lenye uwezo sofi.😂😂Ni kweli kabisa gb chache sana na imejaa tayar
Laki 3 tu napata simu kali sanaNimekuelewa, ukiuza hiyo mimi nikuongezee kiasi gani ili ununue tambo jipya lenye uwezo sofi.
Sawa hamna shida tuwasiliane ntakupatia ila uhakikishe unanunua kweliLaki 3 tu napata simu kali sana
Niko poa, wewe je... Ñimechelewa kuja na nyimbo ni nzuri sana thanxleo dada nimatumaini yangu umeamka vyediView attachment 3548396