Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Bado niko huku poker😅Na usharudi ilemela kutoka kwenye ile interview?
Bado niko huku poker😅Na usharudi ilemela kutoka kwenye ile interview?
Doooh juzi kumbe tulikuwepo wahenga hapo kipindi Cha kitima akiwa makamu wetu2023
Mi nilisoma ushirika, hapo nilienda soma coz nyingine tu.. duhh kitima kitambo!Doooh juzi kumbe tulikuwepo wahenga hapo kipindi Cha kitima akiwa makamu wetu
Eeh wahenga tulikua nae😄Mi nilisoma ushirika, hapo nilienda soma coz nyingine tu.. duhh kitima kitambo!
Hongereni! Mlimkuta zuchu kweli nyie😁Eeh wahenga tulikua nae😄
Duh mimi kipindi cha Deogratius Rweyongeza nilikuwaga nademu wangu hapo SAUT.Doooh juzi kumbe tulikuwepo wahenga hapo kipindi Cha kitima akiwa makamu wetu
Social work si inatakiwa ufanye kazi halmashauri?Social work
Ndio sijazipata ss kwani ukinipa wewe kuna shida?Social work si inatakiwa ufanye kazi halmashauri?
Ntakucheki pm unipe vocha yangu.Bado sana poker! Usichengeshe lengo la kunipa kazi bwana😂
Njoo tuNtakucheki pm unipe vocha yangu.