SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Ngoja nilisikilize, lakini unajua veterani mimi bila gitaa, goma halinogi. Nimekua enzi za kina Gangwe Mob na Majitu 'pirimitivu' na kina Necha, nyimbo lazima isifie wali na pilau
Hiyo haina gitaa... wakati unasikiliza weka hata kipande cha diblo dibala kunogesha..
 
Meata 3.png
 
Back
Top Bottom