SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

ShesRise_1 where you are
IMG_5242.jpeg
 
kwa kuwa hatuoni simu yako, ukute sasa hivi umeweka earphone unasikiliza piano lako unatikisa kichwa na vidole tu😁

Ngoma zako pendwa ni za style ipi
earphone sivaagi nina shida ya masikio, piano ya mimi ku download sina kabisa😄 labda mtu anitumie kwa bahati mbaya

napenda nyimbo za kusikiliza zile za taratibu maana kucheza sijui na pia sipendi kufokewa hata kwenye nyimbo😅😂
 
Back
Top Bottom