Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 775
- 1,712
You know really therapy 🔥 🔥
You know really therapy 🔥 🔥
Noma kakaYou know really therapy 🔥 🔥
Naipenda sana 😍
Nakumbuka zamani nikitongozwa sijibu, mkaka akaniambia hayo maneno hapo kwenye huu wimbo😂
Nakumbuka zamani nikitongozwa sijibu, mkaka akaniambia hayo maneno hapo kwenye huu wimbo😂
Asante boss,ngoja niisikize nimemkumbuka demu wangu wa kwanza alikua anaipenda hii
Aliniuliza eti au ndio usinikubali haraka kama fid q😂 mimi kimya, siamini kama zamani nilikiwa siongei nikitongozwa nageuka bubu mwanzo mwisho, sasa hivi nakutolea macho kama nakujua🤣Nyimbo kali sana 😁
Sasa si alikuwa anajiharibia kukuimbia hiyo nyimbo?
Aliniuliza eti au ndio usinikubali haraka kama fid q😂 mimi kimya, siamini kama zamani nilikiwa siongei nikitongozwa nageuka bubu mwanzo mwisho, sasa hivi nakutolea macho kama nakujua🤣