chinaUnasafirisha kutoka nchi gani mkuu? China, USA, Dubai, Japan, UK au wapi?
Mzigo gani boss, price per cbm hutegemea na aina ya mzigo mf. Bei ya kusafirisha kemikali ni tofauti na bei ya kusafirisha nguo.china
Bei ya kusafirisha spare je kutoka chinaMzigo gani boss, price per cbm hutegemea na aina ya mzigo mf. Bei ya kusafirisha kemikali ni tofauti na bei ya kusafirisha nguo.
Kabisa.Naona siioni seriousness hapa.
Yaani mtu ana plan kununua mzigo kutoka nje, anapata bei lakini anashindwa kujua bei ya usafirishaji....🤔
Anyways....
Pengine bei ya usafirisha ungekua umeipata baada ya research then ukakuja kuuliza hapa kwaajili ya kujiridhisha ilo usije ukapigwa.
wewe jibu swali mimi ni mzoefu nilichouliza ni kujua kama kuna msafirishajibmwenye unafuu wengi cbm ni 450 si mara ya kwanza sababu mzigo ni mkubwa na budget iko tight so jaangalia nione napangaje mambo yanguNaona siioni seriousness hapa.
Yaani mtu ana plan kununua mzigo kutoka nje, anapata bei lakini anashindwa kujua bei ya usafirishaji....🤔
Anyways....
Pengine bei ya usafirisha ungekua umeipata baada ya research then ukakuja kuuliza hapa kwaajili ya kujiridhisha ilo usije ukapigwa.
mkuu wengi wanataja 450 hata waliozoelekavndo mana nauliza hapa labda kuna jamaa ambao siwajui siwezi taja majina yaoMzee mbona unataka kupigwa mchana kweupe? Chini ya $400 per CBM kutoka China hadi Bongo ni bei ya kawaida sana kwa sasa.
Siku hizi cargo nyingi za maana zinacheza kati ya $280 hadi $350 kwa CBM kulingana na bandari, ukiona mtu anakutajia $400+ kwenye Co2 Laser machine, jua hapo ameweka cha juu.
Ukisoma post yake swali lako lipo na jibu. Anasafirisha mashine ambapo kampuni zote za cargo huwa zina rate ya juu tofauti na mitumba au nguo. Kuanzia $450 hadi $500 per CBM.Mzigo gani boss, price per cbm hutegemea na aina ya mzigo mf. Bei ya kusafirisha kemikali ni tofauti na bei ya kusafirisha nguo.
Mkuu biashara ya sasa hivi haitaki aibu wala usiri.mkuu wengi wanataja 450 hata waliozoelekavndo mana nauliza hapa labda kuna jamaa ambao siwajui siwezi taja majina yao
Kwenye kununua mashine ya uzalishaji, achana na marobota ya chupi hakuna anayezingatia msafirishaji kabla ya mtengenezaji.Naona siioni seriousness hapa.
Yaani mtu ana plan kununua mzigo kutoka nje, anapata bei lakini anashindwa kujua bei ya usafirishaji....🤔
Anyways....
Pengine bei ya usafirisha ungekua umeipata baada ya research then ukakuja kuuliza hapa kwaajili ya kujiridhisha ilo usije ukapigwa.
Fanya hivi, taja wewe hizo kampuni zenye bei nafuu ndio atumie hizo. Kwenye bei elekezi taja zinazosafirisha 1 CBM ya machinery na ya spare parts kwa $400.Mkuu biashara ya sasa hivi haitaki aibu wala usiri, taja majina tu kwani unawaogopa?
Hiyo $450 wanayokutajia ni bei ya watu wanaosafirisha mizigo mchanganyiko ya nguo au viatu inayohitaji clearing ngumu bandarini. Mashine yako ya Co2 Laser haina usumbufu mkubwa wa ushuru, inatakiwa ishuke bei. Ukiona wanalingana bei, jua wote wanatumia master agent mmoja kule China na wanakupiga cha juu cha kufanana!
Ameedit mwanzo aliuliza tu kampuni yenye bei nafuu ndiyomaana nikamjibu hivyo.Ukisoma post yake swali lako lipo na jibu. Anasafirisha mashine ambapo kampuni zote za cargo huwa zina rate ya juu tofauti na mitumba au nguo. Kuanzia $450 hadi $500 per CBM.
Swali lake lipo kwa nani ana bei nafuu kiasi.
Unajua jinsi makontena yanavyopakiwa China au unaongea kitu usichokijua hapa?Fanya hivi, taja wewe hizo kampuni zenye bei nafuu ndio atumie hizo. Kwenye bei elekezi taja zinazosafirisha 1 CBM ya machinery na ya spare parts kwa $400.
Atatumia hiyo bei kama benchmark.
Usije ukawa unasemea bei ya mabati na vyuma vya ujenzi wakati hii ni mashine inayotaka space na kutogandamizwa vitu isije haribu baadhi ya components kama mikono na mikanda.
Kati ya kampuni ulizotaja hapo ni ipi inasafirisha machineries chini ya $450 per CBM?Unajua jinsi makontena yanavyopakiwa China au unaongea kitu usichokijua hapa?
Wafuatilie Afrisam Cargo, Silent Ocean na GBL Cargo, usibishe kitu ambacho haukijui, kama mnakubali kuibiwa ni nyie.
Nimekwambia wafuatilie, hizi ngonjera zingine za kike unazoongea hapa hazina maana.Kati ya kampuni ulizotaja hapo ni ipi inasafirisha machineries chini ya $450 per CBM?
Uzuri wa JF unaweza kuta muuza TV anabishana na fuel attendant wa petrol station juu ya bei ya mafuta ya siku hiyo.
Nifuatilie kitu ambacho sijakileta na hakipo?Nimekwambia wafuatilie, hizi ngonjera zingine za kike unazoongea hapa hazina maana.