Sea Cargo Freight Fowarder Mwenye Bei nafuu chini ya USD 400 per CBM ni nani ?

Sea Cargo Freight Fowarder Mwenye Bei nafuu chini ya USD 400 per CBM ni nani ?

Nifuatilie kitu ambacho sijakileta na hakipo?

Wewe uliyesema wengine wanapigwa na madalali wa Wachina, tutajie kati ya hizo kampuni ulizotaja hapo nani anasafirisha mashine chini ya $450 kwa CBM. It's very simple badala yake unapiga konakona.

Au unahisi cargo unaagiza wewe tu humu JF? Kwamba wengine wote mafala wewe ndio mjanja unajua machimbo. Kutaja kwenyewe unataja Silent Ocean, aliyekwambia wana bei njaa nani?
Kifupi kama hauwezi hakuna ulazima wa mimi kuzidi kukuelewesha, uzuri unayeibiwa ni wewe siyo mimi.
 
Kama unasafirisha mizigo yako kwa meli unatumia yupi na bei ipi?

From China to Tanzania Mashine ni Co2 laser
1000588650.jpg


Una shngap hapo karibu nikupe mtambo.
 
OgaBoy kitu cha kuzingatia ni exchange rate ya kampuni husika na nani anawahishwa mizigo. Hizi porojo za mtu anakuja kusema "mmezoea madalali wa Wachina" na hataji nani ana bei chini ya hapo hazitokusaidia.

Binafsi siwezi enda kampuni uchwara kisa ina bei ndogo. Ambavyo still sijawahi dhania kampuni hata iwe na bei nzuri kiasi gani itafanya chini ya $450 per CBM kwa mashine. Wengine $500 ndio bei zao.
 
Mimi nasafirishaga vifungashio (plastics bottles kwa $430 Shamwaa ila nipo mbioni kuomba punguzo
 
Back
Top Bottom