Sea Cargo Freight Fowarder Mwenye Bei nafuu chini ya USD 400 per CBM ni nani ?

Kifupi kama hauwezi hakuna ulazima wa mimi kuzidi kukuelewesha, uzuri unayeibiwa ni wewe siyo mimi.
 
OgaBoy kitu cha kuzingatia ni exchange rate ya kampuni husika na nani anawahishwa mizigo. Hizi porojo za mtu anakuja kusema "mmezoea madalali wa Wachina" na hataji nani ana bei chini ya hapo hazitokusaidia.

Binafsi siwezi enda kampuni uchwara kisa ina bei ndogo. Ambavyo still sijawahi dhania kampuni hata iwe na bei nzuri kiasi gani itafanya chini ya $450 per CBM kwa mashine. Wengine $500 ndio bei zao.
 
Mimi nasafirishaga vifungashio (plastics bottles kwa $430 Shamwaa ila nipo mbioni kuomba punguzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…