Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Sead Ramovic ni kocha wa Kijerumani ambaye anatajwa kwa nafasi kubwa kama mrithi wa Miguel Gamondi aliyefurushwa mapema leo.
Ramovic alikuwa anakinoa kikosi cha TS Galaxy kinachoshiriki Ligi Kuu ya Betway pale Afrika Kusini kuanzia mwaka 2021 -2024.
TS Galaxy inashika mkia katika msimamo wa ligi kuu ya South Afrika wakiwa na alama 2 baada ya michezo 6.
Wana Yanga mnategemea nini kutoka kwa kocha Ramovic?