Sead Ramovic kutua Yanga akichukua nafasi ya Gamondi

Sead Ramovic kutua Yanga akichukua nafasi ya Gamondi

Huyu kocha ni dalali wa viwanja sa sijui atawezaje kufundisha boli na kufanya kazi yake ya udalali.
 
Naye atafukuzwa
Wambea machawa wana nguvu

Ova
 
Pia kumbuka Nabi, na Gamondi hatukuweza kuwajua hapo kabla ila tumewajua hao makocha kupitia huyo huyo Hersi na tumeona timu ikifanikiwa kupitia hao makocha. Tuupe muda useme kama ni maamuzi sahihi au ya hovyo. Tuwe wavumilivu na hukumu ya muda.
Umenena vyema kabisaaa.
 
Alipoondoka Nabi na Mayele wakasema Yanga kwishnei. Wakafanya na sherehe kabisa wakasema ubingwa ni wao.
Kilichowapata ni kula mkono na kufungwa back to back.
Sasa wameanza tena kufanya na maneno kibao.
Sijui mnaona kinachoenda kuwapata kama mimi? Tutulie tu wananchi.
 
Mambo ya makocha anaweza toka timu fulani akawa hana matokeo mazuri akaja timu yako akawa vema..pengine uongozi wa Yanga unazo sababu za kiufundi kwanini wamchukue. ..labda falsafa yake inafaa yanga nk. Makocha huajiliwa ili watimuliwe
 
Back
Top Bottom