Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Tusilaumu mtu kabla ya kutafuta undani wa hili sakata.Chini ya hersi nilijua yanga tumeshaachana na kuendesha club kiswahili Swahili nikajua tumepata mtu makini, aisee mswahili haachi asili
Pia kumbuka Nabi, na Gamondi hatukuweza kuwajua hapo kabla ila tumewajua hao makocha kupitia huyo huyo Hersi na tumeona timu ikifanikiwa kupitia hao makocha. Tuupe muda useme kama ni maamuzi sahihi au ya hovyo. Tuwe wavumilivu na hukumu ya muda.Chini ya hersi nilijua yanga tumeshaachana na kuendesha club kiswahili Swahili nikajua tumepata mtu makini, aisee mswahili haachi asili
Umepotea jamviniPia kumbuka Nabi, na Gamondi hatukuweza kuwajua hapo kabla ila tumewajua hao makocha kupitia huyo huyo Hersi na tumeona timu ikifanikiwa kupitia hao makocha. Tuupe muda useme kama ni maamuzi sahihi au ya hovyo. Tuwe wavumilivu na hukumu ya muda.
Anakuja kuwashusha darajaSead Ramovic ni kocha wa Kijerumani ambaye anatajwa kwa nafasi kubwa kama mrithi wa Miguel Gamondi aliyefurushwa mapema leo.
Ramovic alikuwa anakinoa kikosi cha TS Galaxy kinachoshiriki Ligi Kuu ya Betway pale Afrika Kusini kuanzia mwaka 2021 -2024.
TS Galaxy inashika mkia katika msimamo wa ligi kuu ya South Afrika wakiwa na alama 2 baada ya michezo 6.
Wana Yanga mnategemea nini kutoka kwa kocha Ramovic?View attachment 3152879
Miguu ya nyoka haionekani kabisa, ila mimi nimeonekana.Umepotea jamvini
Huonekani ka miguu ya nyoka
Wakati mwingine tuacheni uongozi ufanye kazi yake kuna jopo la watu wengi tu wameona ndio muda sahihi huu! Mbinu za Gamond zilishakua exposed kuondoka ilikua lazima.Chini ya hersi nilijua yanga tumeshaachana na kuendesha club kiswahili Swahili nikajua tumepata mtu makini, aisee mswahili haachi asili