Seba aliyeandika meseji kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho kwenye ghorofa ya Kariakoo lililoanguka, akutwa amefariki

Seba aliyeandika meseji kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho kwenye ghorofa ya Kariakoo lililoanguka, akutwa amefariki

Mungu hajahusika hapo, huo ni uzembe, rushwa, kupenda shortcut, ufisadi
Naomba Mungu Machinga Complex iporomoke pia wale matapeli waliojaza na pale especially wanaouza na kutengeneza computer na laptop waanze kutubu mapema
 
Na ndio maana nikasema ukisimama nshale ukikimbia nshale
Ni ngumu mkuu,
Ukisema utumie machinery, unaweza kuua watu zaidi maana linaweza kuporomoka zaidi. Ukisema ufukue taratibu kuna watu wanakosa hewa ndani na wanahitaji uokozi wa haraka. Sio rahisi hata kidogo.
 
Ukichunguza sana kuhusu suala hili unaweza kuona kwamba kama vile kulikuwa na hujuma kuhusiana na ajali hiyo ya kuporomoka kwa ghorofa huko Kariakoo, jaribu kutazama video hii unaweza ukabaini vitu fulani fulani hivi.

Is it not the act of sabotage?
Kataja na tarehe ile ikitokea mukumbuke😅😅 na kanisa likajae
 
Kataja na tarehe ile ikitokea mukumbuke😅😅 na kanisa likajae
Yeah.
Yaani ajali hii kama vile ilitengenezwa makusudi, a staged accident na huyo Mchungaji naye kama vile alipewa taarifa mapema zaidi za hakikisho la kufanyika kwa tukio hilo ili naye aanze kufanya propaganda za 'fore shadowing.'
Jaribu tu kujiuliza: Ni kwa nini Mchungaji huyo alikuwa anaongea kwa kujiamini sana namna hiyo kama hakuwahi kuhakikishiwa kabla kwamba ajali hiyo ni LAZIMA itatokea?? Is it possible???
 
Back
Top Bottom