Ni ngumu mkuu,
Ukisema utumie machinery, unaweza kuua watu zaidi maana linaweza kuporomoka zaidi. Ukisema ufukue taratibu kuna watu wanakosa hewa ndani na wanahitaji uokozi wa haraka. Sio rahisi hata kidogo.
Ukichunguza sana kuhusu suala hili unaweza kuona kwamba kama vile kulikuwa na hujuma kuhusiana na ajali hiyo ya kuporomoka kwa ghorofa huko Kariakoo, jaribu kutazama video hii unaweza ukabaini vitu fulani fulani hivi.
Yeah.
Yaani ajali hii kama vile ilitengenezwa makusudi, a staged accident na huyo Mchungaji naye kama vile alipewa taarifa mapema zaidi za hakikisho la kufanyika kwa tukio hilo ili naye aanze kufanya propaganda za 'fore shadowing.'
Jaribu tu kujiuliza: Ni kwa nini Mchungaji huyo alikuwa anaongea kwa kujiamini sana namna hiyo kama hakuwahi kuhakikishiwa kabla kwamba ajali hiyo ni LAZIMA itatokea?? Is it possible???