Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
yule anayevaa mashati ya ajabu ajabu yenye rangi 4??anaweka wave na blak😂😂 nah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akitoka nje ya mjengo, ajiandae kukabiliana na fitna za aina zote anazozijua na asizozijua.Watanzania tunakariri sana maisha,kwanini Seba,Clouds ni kampuni,na kampuni ina watu wa maamuzi,we means business,soko la redio na Tv la mwaka 2000 ni tofaiti na soko la redio/Tv la miaka ya leo,duniani mambo yanabadilika sana hasa kitekinolojia,tujiulize tu kati yetu hapa ni wangapi huwa wanaketi nyumbani kutazama TV,au kusikiliza redio,dunia ya sasa ni dunia ya Digitalization,sio zama ma msanii kutoa nyimbo na kuitegemea redio impromote ,siku hizo kuna platform mbalimbali za kuweza kutoka,sasa mnavyompoint moja kwa mona Seba sidhani kama mnajua Marketing strategies za miaka ya leo,je huyo Seba ana ubunifu gani,ana uzoefu gani,ka achieve nini so far,Benki ya CRDB juzi juzi DR Kimei amestaafu baada ya kuipa mafanikio makubwa mpaka hapo ilipo,pamoja na mafanikio iliyo nayo na talented staff iliyo nayo imeenda kumchukia MD wa sasa ndugu Nsekela toka upande mwingine(NMB),unaweza kuona kuwa wamefata uwezo wa mtu badala ya kutazama urafiki,izalendo,na umekaa mda gani na CRDB,wangeweza kumpata MD toka ndani humo lakini viatu vyake havikutosha,hivyo ndivyo Business duniani zinavyokwenda,......"hakuna atakae ziba pengo" ni msemo tu,any person anaweza kuleta mafanikio sehemu,kuna watu wazuri zaidi ya Ruge out there sema kwa kua hamuwajui au hawajapata platform ya kuonekana,.....Nashauri Clouds watafute mtu atakae endeleza yaliyoachwa na Ruge,tena i suggest atafutwe mtu mwenye uwezo popote pale kama ni ndani au nje,dunia inaenda kasi sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hilo ndio tatizo kubwa, kama kuna kuwa na fitina ni hatari kwa maendeleo ya kampuni,waache waendeleze fitna, competition kwenye hiyo industy ni kubwa kwa sasa,Wasafi Limeted is coming,bado wapo kina Majizo nao wanaakili si kitoto,faida wanayopata Clouds kwa sasa ni normal profit sio Super Normal due to competition,kama kuorganize Fiesta tu mwaka jana walishindwa few months baada ya Ruge kuumwa,lakini huko nyuma toka Sama Jam mambo yalikua yanaenda kwasababu ya Ruge,wajitathimini zama zimebadilika sana,upepo upo Mbezi Chini aisee kwa Wasafi......Akitoka nje ya mjengo, ajiandae kukabiliana na fitna za aina zote anazozijua na asizozijua.
Huwa namuangaliagaaa, afu najiuliza huyu bro wanamkanyaga nini, maana sio kwa kujipara vile, sijui ushamba i don know, utafikiri huwa anapiga kiwi kichwayule anayevaa mashati ya ajabu ajabu yenye rangi 4??anaweka wave na blak[emoji23][emoji23] nah!
Hii ni taarifa muhimu. Hata kama angekuwa partner mwenye uwezo wa kufanya maamuzi, bado atakuwa mtu mwingine na tabia, hulka, namna yake tofauti na Ruge.Hakuna mtu anaweza ziba Pengo la Ruge, Ruge hakuwa mwajiriiwa, alikuwa patner wa kusaga walioanzisha wote Clouds from the scratch, nadhani mlimsikia Kusaga jana, so Ruge alikuwa na uwezo wa kufanya maamuzi ya mwisho bila kumuuliza Kusaga, anayekuja hatakuwa na uwezo huo, na hatakuwa na nguvu za kujiamini kuchukua maamuzi bila kumuuliza Joo! It is not going to be the same
nani huyoyule anayevaa mashati ya ajabu ajabu yenye rangi 4??anaweka wave na blak😂😂 nah!
Please tell me nani huyoHuwa namuangaliagaaa, afu najiuliza huyu bro wanamkanyaga nini, maana sio kwa kujipara vile, sijui ushamba i don know, utafikiri huwa anapiga kiwi kichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
sinajinasasplplp30617363 said:Huwa namuangaliagaaa, afu najiuliza huyu bro wanamkanyaga nini, maana sio kwa kujipara vile, sijui ushamba i don know, utafikiri huwa anapiga kiwi kichwa Sent using Jamii Forums mobile
😂😂😂mie typ hizo ht salam huwa nachefukwa..niliwah kutana nYe hotel.1 pale vipele viliota khaa..kichwa kakupigia kiwi uwiiii😂😏 alafu naskia yale mashat anDesgn mwenyew😂😂 akamshoneaga na da hu nguo akaitinga sherehe ya kipepeo😂😂😏zimwi hili hapa..aiseee hPNa
are u okey??kwan kichwa cha habari kimesemajePlease tell me nani huyo
Manengelo kichwa kina mambo mengi, am sorry dearHivi mtumishi wa bwana
are u okey??kwan kichwa cha habari kimesemaje
ikiwa nitakuwwkea pics za huyo seba maganga..ni zaid ya kituko😂Manengelo kichwa kina mambo mengi, am sorry dear
Ziweke basi nizione japo namjua ila ukiniwekea nitafurahi sana😂😂😂nikifan
ikiwa nitakuwwkea pics za huyo seba maganga..ni zaid ya kituko😂
Ziweke basi nizione japo namjua ila ukiniwekea nitafurahi sana
Hivi seba maganga ni Sebastian maganga yule aliekua mtangazaji wa radio Uhuru?Huyu mtoto wa kishua na yeye ni mchapakazi,ni mbunifu yupo karibu sana na vijana toka enzi zile akiwan na Masai inc.
Iliwasimamia wanamuziki kama Gangwe Mobb,Noorah.
Jamaa anajua vingi na anaweza kujitoa,shida moja anajisikia sana hapendi kujishusha akijirekebisha atakuwa mtu poa.
Clouds imejengwa katika culture ya kujipendekeza, kujikombakomba na kuishobokea serikali na unafiki mwingi jambo ambalo Masoud hana.Masoud Kipanya atosha
Nenda kwenye point mkuu....acha storyWatanzania tunakariri sana maisha,kwanini Seba,Clouds ni kampuni,na kampuni ina watu wa maamuzi,we means business,soko la redio na Tv la mwaka 2000 ni tofaiti na soko la redio/Tv la miaka ya leo,duniani mambo yanabadilika sana hasa kitekinolojia,tujiulize tu kati yetu hapa ni wangapi huwa wanaketi nyumbani kutazama TV,au kusikiliza redio,dunia ya sasa ni dunia ya Digitalization,sio zama ma msanii kutoa nyimbo na kuitegemea redio impromote ,siku hizo kuna platform mbalimbali za kuweza kutoka,sasa mnavyompoint moja kwa mona Seba sidhani kama mnajua Marketing strategies za miaka ya leo,je huyo Seba ana ubunifu gani,ana uzoefu gani,ka achieve nini so far,Benki ya CRDB juzi juzi DR Kimei amestaafu baada ya kuipa mafanikio makubwa mpaka hapo ilipo,pamoja na mafanikio iliyo nayo na talented staff iliyo nayo imeenda kumchukia MD wa sasa ndugu Nsekela toka upande mwingine(NMB),unaweza kuona kuwa wamefata uwezo wa mtu badala ya kutazama urafiki,izalendo,na umekaa mda gani na CRDB,wangeweza kumpata MD toka ndani humo lakini viatu vyake havikutosha,hivyo ndivyo Business duniani zinavyokwenda,......"hakuna atakae ziba pengo" ni msemo tu,any person anaweza kuleta mafanikio sehemu,kuna watu wazuri zaidi ya Ruge out there sema kwa kua hamuwajui au hawajapata platform ya kuonekana,.....Nashauri Clouds watafute mtu atakae endeleza yaliyoachwa na Ruge,tena i suggest atafutwe mtu mwenye uwezo popote pale kama ni ndani au nje,dunia inaenda kasi sana!
Sent using Jamii Forums mobile app