avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Huu ujinga wa kuzipa pengo ndio nini
1. Kila mtu anazaliwa na kipaji chake tofauti na mwingine kwa nini uige afanyavyo mwingine?
2. Jitahidi utumie vipaji vyako, mapungufu yako yafahamike kuwa fursa maana ukiiga ya mtu utaishia alichokifanya tuu huwezi kujua angekuja na maboresho gani
3. Kanumba alifariki likaibuka limtu eti linataka kuvaa viatu vyake liliishia wapi?
4. Yule jamaa wa Yanga aliyekuwa anavaa kitambi bandia na miwani mikubwa alifariki likaibuka limtu linguine eti linamuiga , kama una akili si utengeneze brand yako?
5. Sharobaro alifariki likaibuka likenge linajifanya eti lenyewe ndio sharo linaiga mpaka kutembea kwake limeishia wapi?