Seba Maganga anaweza kuvaa viatu vya Ruge Mutahaba akipunguza kujisikia

Seba Maganga anaweza kuvaa viatu vya Ruge Mutahaba akipunguza kujisikia

Huu ujinga wa kuzipa pengo ndio nini

1. Kila mtu anazaliwa na kipaji chake tofauti na mwingine kwa nini uige afanyavyo mwingine?

2. Jitahidi utumie vipaji vyako, mapungufu yako yafahamike kuwa fursa maana ukiiga ya mtu utaishia alichokifanya tuu huwezi kujua angekuja na maboresho gani

3. Kanumba alifariki likaibuka limtu eti linataka kuvaa viatu vyake liliishia wapi?

4. Yule jamaa wa Yanga aliyekuwa anavaa kitambi bandia na miwani mikubwa alifariki likaibuka limtu linguine eti linamuiga , kama una akili si utengeneze brand yako?

5. Sharobaro alifariki likaibuka likenge linajifanya eti lenyewe ndio sharo linaiga mpaka kutembea kwake limeishia wapi?
 
Na hio ndio asili ya watu wanaopenda fursa always, yupo radhi akupake perfume mbele ya jamii hata kama umejinyea ilimradi apate anachotaka tu. Kuna kibarua cha kumtafuta mtu mwenye calibre hio, ndio walau ata match na culture yao.

To make shit worse RIP ndio alikuwa mastermind wa michongo mingi tu, so kusaga alikuwa ni kama anasainisha deal tu, ila Ruge ndio mpambanaji na mpanga safu ya mashambulizi. 90% brain ya Ruge 10% Kusaga. Sasa kwanini usilie machozi! Thats a major loss lazma kampuni itayumba kinamna flani. You need a better strategist to success in business hasa kipindi hiki ambako rivals washakuwa wengi.
Mfano mzuri ni fiesta
 
Huyu nimemsikia leo akijitambulisha kama 'Hassan TANZANITE ngoma!' Sikupata kufahamu kama Tanzanite ni moja ya majina yake.
Hahahaa..........!! Utamjua tu mkuu jamaa ndio boss wa kipindi cha Clouds 360!
 
Back
Top Bottom