Seba Maganga anaweza kuvaa viatu vya Ruge Mutahaba akipunguza kujisikia

Hakuna mtu anaweza ziba Pengo la Ruge, Ruge hakuwa mwajiriiwa, alikuwa patner wa kusaga walioanzisha wote Clouds from the scratch, nadhani mlimsikia Kusaga jana, so Ruge alikuwa na uwezo wa kufanya maamuzi ya mwisho bila kumuuliza Kusaga, anayekuja hatakuwa na uwezo huo, na hatakuwa na nguvu za kujiamini kuchukua maamuzi bila kumuuliza Joo! It is not going to be the same
 
Akitoka nje ya mjengo, ajiandae kukabiliana na fitna za aina zote anazozijua na asizozijua.
 
Akitoka nje ya mjengo, ajiandae kukabiliana na fitna za aina zote anazozijua na asizozijua.
Sasa hilo ndio tatizo kubwa, kama kuna kuwa na fitina ni hatari kwa maendeleo ya kampuni,waache waendeleze fitna, competition kwenye hiyo industy ni kubwa kwa sasa,Wasafi Limeted is coming,bado wapo kina Majizo nao wanaakili si kitoto,faida wanayopata Clouds kwa sasa ni normal profit sio Super Normal due to competition,kama kuorganize Fiesta tu mwaka jana walishindwa few months baada ya Ruge kuumwa,lakini huko nyuma toka Sama Jam mambo yalikua yanaenda kwasababu ya Ruge,wajitathimini zama zimebadilika sana,upepo upo Mbezi Chini aisee kwa Wasafi......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni taarifa muhimu. Hata kama angekuwa partner mwenye uwezo wa kufanya maamuzi, bado atakuwa mtu mwingine na tabia, hulka, namna yake tofauti na Ruge.
Tanzania haitarudia kuwa na Kambarage mwingine. Wala Mwinyi, Mkapa au Kikwete mwingine.
 
Hivi seba maganga ni Sebastian maganga yule aliekua mtangazaji wa radio Uhuru?
 
Masoud Kipanya atosha
Clouds imejengwa katika culture ya kujipendekeza, kujikombakomba na kuishobokea serikali na unafiki mwingi jambo ambalo Masoud hana.

Ataleta culture tofauti ndani ya kampuni, mwisho wa siku kampuni itasuasua wamlaumu.

Sidhani kama Masoud yuko tayari kumnyenyekea na kujikomba kwa Bashite ili mambo yaende.
 
Nenda kwenye point mkuu....acha story

From profile picture to proper future
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ