Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Shida kubwa ni kutaka kufananisha maisha ya waliojipata na wanaojitafuta.Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu.
Sebuleni panapaswa kuwa kama hiyo picha hapo chini, sebule haipaswi kuwa na friji, jiko la gesi, ndoo, kabati la vyombo na vingine kubao hivyo vyote ni uchafu vikikaa hapo sebuleni.
Note: Hiyo picha hapo siyo kwangu ndugu zangu, nimeitoa tu mahali na mimi nina ndoto za kuishi sehemu kama hiyo.
View attachment 2844782
Uko sahihi kabisa mzee wa Aromaticity na Isomerism, wana hawaelewi resonance ya maisha ya binadamu.Shida kubwa ni kutaka kufananisha maisha ya waliojipata na wanaojitafuta.
Hakuna mtu apendaye kujaza vitu vingi sebuleni au chumbani ila uchumi ndio huamua
Kama huna sebule kama hiyo na unatamani kuwa nayo kuna uwezekano hautokaa uwe nayo kama hiyo.Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu.
Sebuleni panapaswa kuwa kama hiyo picha hapo chini, sebule haipaswi kuwa na friji, jiko la gesi, ndoo, kabati la vyombo na vingine kubao hivyo vyote ni uchafu vikikaa hapo sebuleni.
Note: Hiyo picha hapo siyo kwangu ndugu zangu, nimeitoa tu mahali na mimi nina ndoto za kuishi sehemu kama hiyo.
View attachment 2844782
Hii inaonekana kama second reception room. Inamaanisha kuna family sitting room nyingine kubwa yenye makochi ya kutosha familia na coffee table.Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu.
Sebuleni panapaswa kuwa kama hiyo picha hapo chini, sebule haipaswi kuwa na friji, jiko la gesi, ndoo, kabati la vyombo na vingine kubao hivyo vyote ni uchafu vikikaa hapo sebuleni.
Note: Hiyo picha hapo siyo kwangu ndugu zangu, nimeitoa tu mahali na mimi nina ndoto za kuishi sehemu kama hiyo.
View attachment 2844782
Hiyo siyo sebule. Hiyo ni TV room ya family pekee.Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu.
Sebuleni panapaswa kuwa kama hiyo picha hapo chini, sebule haipaswi kuwa na friji, jiko la gesi, ndoo, kabati la vyombo na vingine kubao hivyo vyote ni uchafu vikikaa hapo sebuleni.
Note: Hiyo picha hapo siyo kwangu ndugu zangu, nimeitoa tu mahali na mimi nina ndoto za kuishi sehemu kama hiyo.
View attachment 2844782
Itupe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wenye chumba kimoja sasa friji tukaweke kwa jirani?