Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Lete picha ya sebuleni kwako tuone palivyo pachafu.Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu.
Sebuleni panapaswa kuwa kama hiyo picha hapo chini, sebule haipaswi kuwa na friji, jiko la gesi, ndoo, kabati la vyombo na vingine kubao hivyo vyote ni uchafu vikikaa hapo sebuleni.
Note: Hiyo picha hapo siyo kwangu ndugu zangu, nimeitoa tu mahali na mimi nina ndoto za kuishi sehemu kama hiyo.
View attachment 2844782