Sebuleni kunakaa TV na makochi pekee hivyo vingine vyote ni uchafu

Sebuleni kunakaa TV na makochi pekee hivyo vingine vyote ni uchafu

hiyo yenyewe ulioweka ni uchochoro sio sebule
sebule watoto wanaweka magoli nakucheza boli kama uwanja wachamazi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Iyo inakuwa haina sifa ya kuitwa sebule tena. Ni pichi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo siyo sebule. Hiyo ni TV room ya family pekee.

Kuweka TV sebuleni ambapo wanakuja na wageni wasio familia ni ujinga.

TV ya family inakuwa na chumba cha peke yake, TV ya master bedroom ni kwa ajili ya mwenye nyumba tu.

Usiweke TV bedroom za watoto wala usiwawekee TV ya kutazama peke yao.

TV nyingine inaweza kuwekwa chumba cha wageni na remote na kuiwasha kwake ni akiwepo mgeni tu kwenye hicho chumba. Watoto hawaruhusiwi kabisa kuingia chumba cha wageni.

Upo hapo ulipo?
Hyo guest yako umejenga mitaaa gani mwali wa mitaa ya aggrey na ndanda?
 
Daah [emoji23]
Hapo unamaanisha nitupe na kitanda, jiko + majaba yangu ya maji ujue. Nitaishije
Ukitupa vyote hivyo akili ya kupata Nyumba nzima itakujia kwa kasi ya mwewe. Hujasikia kwamba ugumu wa maisha ni kipimo cha akili?. Ongeza ugumu,ili ufikiri nje ya box[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu sio wote waliojaaliwa uwezo wa kuwa na vitu hivyo...

Ila siku moja yes...
Hajamaanisha kwamba lazima viwe kama hivo kwenye picha, bali tu sebuleni kuwe na tv plus makochi....haijalishi gharama zake
 
Watanzania wengi bado hatujaweza kuishi kwenye nyumba. Tukifanya research watanzania wanaoishi kwenye nyumba ni asilimia chini ya 1.

Wengi mnaishi kwenye stores, warehouses na workshops.
 
Hiyo siyo sebule. Hiyo ni TV room ya family pekee.

Kuweka TV sebuleni ambapo wanakuja na wageni wasio familia ni ujinga.

TV ya family inakuwa na chumba cha peke yake, TV ya master bedroom ni kwa ajili ya mwenye nyumba tu.

Usiweke TV bedroom za watoto wala usiwawekee TV ya kutazama peke yao.

TV nyingine inaweza kuwekwa chumba cha wageni na remote na kuiwasha kwake ni akiwepo mgeni tu kwenye hicho chumba. Watoto hawaruhusiwi kabisa kuingia chumba cha wageni.

Upo hapo ulipo?
Kilaza umeshafika..maustadh walishakuharibu akili
 
Mbona hainogi hapo? Ilitakiwa kuwe na malapa machafu kdg, ndoo za maji, vitambaa vya kufunika sofa, jiko la gesi, friji bovu, sabufa inayopiga upande mmoja mwingine mbovu, mende wakukatiza katiza, walau panya wawili wakuamsha amsha. hapo sebule inanoga kidogo!
 
Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu.

Sebuleni panapaswa kuwa kama hiyo picha hapo chini, sebule haipaswi kuwa na friji, jiko la gesi, ndoo, kabati la vyombo na vingine kubao hivyo vyote ni uchafu vikikaa hapo sebuleni.

Note: Hiyo picha hapo siyo kwangu ndugu zangu, nimeitoa tu mahali na mimi nina ndoto za kuishi sehemu kama hiyo.

View attachment 2844782
Kitu ambacho nimekibaini Kwa wazungu wao wanatutengenezea Vitu halafu wao wala hawajiangaishi navyo.

Sebuleni haikai tv, hiyo ni nyumba ya mshamba kama wewe tu.
 
Mbona hainogi hapo? Ilitakiwa kuwe na malapa machafu kdg, ndoo za maji, vitambaa vya kufunika sofa, jiko la gesi, friji bovu, sabufa inayopiga upande mmoja mwingine mbovu, mende wakukatiza katiza, walau panya wawili wakuamsha amsha. hapo sebule inanoga kidogo!
Hahahhaah na mende wanaopitapita.
 
Back
Top Bottom