Sebuleni kunakaa TV na makochi pekee hivyo vingine vyote ni uchafu

hiyo yenyewe ulioweka ni uchochoro sio sebule
sebule watoto wanaweka magoli nakucheza boli kama uwanja wachamazi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Iyo inakuwa haina sifa ya kuitwa sebule tena. Ni pichi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hyo guest yako umejenga mitaaa gani mwali wa mitaa ya aggrey na ndanda?
 
Daah [emoji23]
Hapo unamaanisha nitupe na kitanda, jiko + majaba yangu ya maji ujue. Nitaishije
Ukitupa vyote hivyo akili ya kupata Nyumba nzima itakujia kwa kasi ya mwewe. Hujasikia kwamba ugumu wa maisha ni kipimo cha akili?. Ongeza ugumu,ili ufikiri nje ya box[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu sio wote waliojaaliwa uwezo wa kuwa na vitu hivyo...

Ila siku moja yes...
Hajamaanisha kwamba lazima viwe kama hivo kwenye picha, bali tu sebuleni kuwe na tv plus makochi....haijalishi gharama zake
 
Watanzania wengi bado hatujaweza kuishi kwenye nyumba. Tukifanya research watanzania wanaoishi kwenye nyumba ni asilimia chini ya 1.

Wengi mnaishi kwenye stores, warehouses na workshops.
 
Kilaza umeshafika..maustadh walishakuharibu akili
 
Mbona hainogi hapo? Ilitakiwa kuwe na malapa machafu kdg, ndoo za maji, vitambaa vya kufunika sofa, jiko la gesi, friji bovu, sabufa inayopiga upande mmoja mwingine mbovu, mende wakukatiza katiza, walau panya wawili wakuamsha amsha. hapo sebule inanoga kidogo!
 
Kitu ambacho nimekibaini Kwa wazungu wao wanatutengenezea Vitu halafu wao wala hawajiangaishi navyo.

Sebuleni haikai tv, hiyo ni nyumba ya mshamba kama wewe tu.
 
Tusipangiane maisha, kila mtu afanye awezalo.
 
Hahahhaah na mende wanaopitapita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…