Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kunikonekti ya huyo dada?? Labda naweza kumbadilisha mawazo...:tongue:
Watu hamuwezekani na wewe mbona unafanana na huyo kaka ?:help:
Si unaona eh....msaada wangu muhimu hapa....twende pm basi...:hug:
Huyo dada alitakiwa ambane jamaa amfafanulie vizuri anawezaje kuwa nae wakati ana GF? Au hiyop time will tell inategemea situation itakuwa vipi na huyu GF wake? Kama ni concidence ina maana wote wanapendana, wasiidhulumu mioyo yao.Wapenzi habari za kazi na weekend nisiwachoshe msinichoshe...leo nimekuja na mshangao kidogo..
Niliwahi kubandika hapa ile habari ya binti aliyempenda Kijana akashindwa kumwambia...
Bahati njema wamefanikiwa kuonana na kukaa pamoja kwa maongezi last weekend mambo yakaa hivi..
Kijana kamwambia Binti aliwahi kumuuliza mtu juu ya habari zake lakini aliambiwa ana B/F akaamua ku-give up .. asante umekuja maishani mwangu by Coincidence ila niko na G/F wa muda mrefu if u don't mind naweza kuwa na wewe time will tell... na kauli ya mwisho ya Mkaka ilikuwa " Make me what u want..:wave:
Binti kachanganyikiwa anadai itakuwaje amwambie make me what u want wakati tayari ana G/F wa muda mrefu...???:tape:
Safety is our number 1 value ..weekend njema
Huyo dada alitakiwa ambane jamaa amfafanulie vizuri anawezaje kuwa nae wakati ana GF? Au hiyop time will tell inategemea situation itakuwa vipi na huyu GF wake? Kama ni concidence ina maana wote wanapendana, wasiidhulumu mioyo yao.
:angry:....:brick:.......:mad2:......😛ray:
Huyo jamaa angekuwa mkware angeshamega huyo dada long time.Mie mwenyewe hata sijui nisemeje hapa ..huyu mwanaume ni jamii ya Wakwale
huyo mdada keshalikoroga acha alinywe tu. wewe ushajijua una flu halaf unajipeleka kwenye vumbi. jibaba kaona zali la soweto, kaamua kuliunganisha . halaumiki sana. ushauri zaidi mwambie ajiunge JF halaf aniPM ez suun ez posibo.Wapenzi habari za kazi na weekend nisiwachoshe msinichoshe...leo nimekuja na mshangao kidogo..
Niliwahi kubandika hapa ile habari ya binti aliyempenda Kijana akashindwa kumwambia...
Bahati njema wamefanikiwa kuonana na kukaa pamoja kwa maongezi last weekend mambo yakaa hivi..
Kijana kamwambia Binti aliwahi kumuuliza mtu juu ya habari zake lakini aliambiwa ana B/F akaamua ku-give up .. asante umekuja maishani mwangu by Coincidence ila niko na G/F wa muda mrefu if u don't mind naweza kuwa na wewe time will tell... na kauli ya mwisho ya Mkaka ilikuwa " Make me what u want..:wave:
Binti kachanganyikiwa anadai itakuwaje amwambie make me what u want wakati tayari ana G/F wa muda mrefu...???:tape:
Safety is our number 1 value ..weekend njema
huyo mdada keshalikoroga acha alinywe tu. wewe ushajijua una flu halaf unajipeleka kwenye vumbi. jibaba kaona zali la soweto, kaamua kuliunganisha . halaumiki sana. ushauri zaidi mwambie ajiunge JF halaf aniPM ez suun ez posibo.
Mtumishi wa Bwana naomba usiweke ile sala yako hapa tafadhali....najaribu kutoa msaada kwa mhitaji hapa....
back to pm with FL1..:tongue:
huyo mdada keshalikoroga acha alinywe tu. wewe ushajijua una flu halaf unajipeleka kwenye vumbi. jibaba kaona zali la soweto, kaamua kuliunganisha . halaumiki sana. ushauri zaidi mwambie ajiunge JF halaf aniPM ez suun ez posibo.
Wakazane:spy: ??? Mwambie huyo Mdada aje huku siye tunatongozeka na ni wazuri tu!!!1:love:
Pendo haligawanyika..atamegwa atapigwa chini..
Atafute ustaarabu mwingine mbona midume ya mbegu tupo mingi mujini..