Secret admirer; hii ipo jamani?

Secret admirer; hii ipo jamani?

You cannot have everything you want in life..! let her admit the defeat and move on..Otherwise she will end up with endless heartbreaks!!:yawn:
 
FL1, mwambie huyo dada atulie, inaonekana na yeye ata matatizo... alishajua jamaa ana GF, bado akajilengesha kukutana naye.... ameambiwa ukweli, bado anajifikiria fikiria... atauza utu wake kwa huyo jamaa kisha atabwagwa vibaya....
 
Jamani bongo ya leo utamkuta wapi asiye na BF au asiye na GF? Ukiona hana ujue hiyo ni hatari kwani wengi wamemshindwa. Akiwa nao wengi huyo ndo mzuri maana wengi wanampenda. Alichotakiwa dada ni kuanza naye polepole na kuona mwelekeo jinsi ulivyokaa.
 
Nadhani huyo secret admirer anahitaji msaada wa mawazo. Jibu alilopewa linatosha kumzindua ili afikiri kwa akili na siyo moyo.ushauri kwa huyo dada ni kuwa aendelee na maisha yake akimwomba Mungu ili apate wa kumpendana kikamilifu na siyo kuwa spare tyre.
 
Pendo haligawanyika..atamegwa atapigwa chini..
Atafute ustaarabu mwingine mbona midume ya mbegu tupo mingi mujini..
 
ni vema njema amemweleza ukweli sasa ni juu yake kunyoa ama kusuka.
 
Wapenzi habari za kazi na weekend nisiwachoshe msinichoshe...leo nimekuja na mshangao kidogo..
Niliwahi kubandika hapa ile habari ya binti aliyempenda Kijana akashindwa kumwambia...
Bahati njema wamefanikiwa kuonana na kukaa pamoja kwa maongezi last weekend mambo yakaa hivi..

Kijana kamwambia Binti aliwahi kumuuliza mtu juu ya habari zake lakini aliambiwa ana B/F akaamua ku-give up .. asante umekuja maishani mwangu by Coincidence ila niko na G/F wa muda mrefu if u don't mind naweza kuwa na wewe time will tell... na kauli ya mwisho ya Mkaka ilikuwa " Make me what u want..:wave:
Binti kachanganyikiwa anadai itakuwaje amwambie make me what u want wakati tayari ana G/F wa muda mrefu...???:tape:

Safety is our number 1 value ..weekend njema
Huyo dada alitakiwa ambane jamaa amfafanulie vizuri anawezaje kuwa nae wakati ana GF? Au hiyop time will tell inategemea situation itakuwa vipi na huyu GF wake? Kama ni concidence ina maana wote wanapendana, wasiidhulumu mioyo yao.
 
huyu dada aachane nae tu atampata wake...haraka ya nini
 
:angry:....:brick:.......:mad2:......😛ray:

Mtumishi wa Bwana naomba usiweke ile sala yako hapa tafadhali....najaribu kutoa msaada kwa mhitaji hapa....
back to pm with FL1..:tongue:
 
Wapenzi habari za kazi na weekend nisiwachoshe msinichoshe...leo nimekuja na mshangao kidogo..
Niliwahi kubandika hapa ile habari ya binti aliyempenda Kijana akashindwa kumwambia...
Bahati njema wamefanikiwa kuonana na kukaa pamoja kwa maongezi last weekend mambo yakaa hivi..

Kijana kamwambia Binti aliwahi kumuuliza mtu juu ya habari zake lakini aliambiwa ana B/F akaamua ku-give up .. asante umekuja maishani mwangu by Coincidence ila niko na G/F wa muda mrefu if u don't mind naweza kuwa na wewe time will tell... na kauli ya mwisho ya Mkaka ilikuwa " Make me what u want..:wave:
Binti kachanganyikiwa anadai itakuwaje amwambie make me what u want wakati tayari ana G/F wa muda mrefu...???:tape:

Safety is our number 1 value ..weekend njema
huyo mdada keshalikoroga acha alinywe tu. wewe ushajijua una flu halaf unajipeleka kwenye vumbi. jibaba kaona zali la soweto, kaamua kuliunganisha . halaumiki sana. ushauri zaidi mwambie ajiunge JF halaf aniPM ez suun ez posibo.
 
JF burudani sana
 
Mtumishi wa Bwana naomba usiweke ile sala yako hapa tafadhali....najaribu kutoa msaada kwa mhitaji hapa....
back to pm with FL1..:tongue:

Nimeshatuma PM ...enjoy ur weekend
 
huyo mdada keshalikoroga acha alinywe tu. wewe ushajijua una flu halaf unajipeleka kwenye vumbi. jibaba kaona zali la soweto, kaamua kuliunganisha . halaumiki sana. ushauri zaidi mwambie ajiunge JF halaf aniPM ez suun ez posibo.

Duuuh jamani klorokwin mmh
 
nilivyoelewa ni kama mkaka anampenda mdada sana kiasi kwamba anaweza kumbali aachane na GF wake wa sasa, na inavyoonekana mkaka aliamua kuwa na GF baada ya kugundua kuwa Bidada ana BF.
ni mtizamo wangu tu.
 
Wakazane:spy: ??? Mwambie huyo Mdada aje huku siye tunatongozeka na ni wazuri tu!!!1:love:

Pendo haligawanyika..atamegwa atapigwa chini..
Atafute ustaarabu mwingine mbona midume ya mbegu tupo mingi mujini..

huyo mdada keshalikoroga acha alinywe tu. wewe ushajijua una flu halaf unajipeleka kwenye vumbi. jibaba kaona zali la soweto, kaamua kuliunganisha . halaumiki sana. ushauri zaidi mwambie ajiunge JF halaf aniPM ez suun ez posibo.

well noted....thank you
 
poleni sana na majukumu wanajamii, wale mnaoanza weekend leo hongereni sana

kutokana na stress nyingi zinazoniandama katika dunia hii, mimi natafuta (secret lover) mpenzi wa kuchati nae tu tafadhali naomba nielweke!

umri wowote ilimradi asiwe chini ya 18
awe anajua kuchat vizuri na yuko very sharp
pia awe anajua mapenzi maana most of the time we shall be talking about love
awe single tafadhali
la mwisho awe mrembo :A S-rose:

PM au email ppisces26@ymail.com

naomba kuwasilisha
 
Weekend imeanza Alhamisi ? halafu tunasema hatuendelei ? sasa kama kuchat tu mbona masharti mengi secret,very sharp,mrembo anyway good luck.
 
Back
Top Bottom