Tetesi: Secretary anasema haya kwa kunong’ona kwamba Mkeka

Tetesi: Secretary anasema haya kwa kunong’ona kwamba Mkeka

20240721_231448.jpg
 
Mwanadada wa mapingili shingoni Out

Jeni wa kuhusu utaratibu wa muhaga maaaa Out

Ndumba Aroooo out
Wa ma mineral out
February mauzi out

Kwanini mtoto wa millet sioni jina
Tusubiri

Britanicca


Kwa kweli wewe jamaa hapana. Ni zaidi ya wiki ukituuma sikio, lakini hatukusikia kama walio na masikio wasisikie na macho wasione. Wewe ni moja wa wale vichwa viwili siyo? Nadhani saa hizi unacheeka sababu ulikuwa unawachora tu watoto wa mjini waliokulia mikoani baba zao wakahamishiwa kikazi mjini na mwalimu nyerere
 
Back
Top Bottom