Tetesi: Secretary anasema haya kwa kunong’ona kwamba Mkeka

Tetesi: Secretary anasema haya kwa kunong’ona kwamba Mkeka

Mwanadada wa mapingili shingoni Out

Jeni wa kuhusu utaratibu wa muhaga maaaa Out

Ndumba Aroooo out
Wa ma mineral out
February mauzi out

Kwanini mtoto wa millet sioni jina
Tusubiri

Britanicca
Hapa ukafeli, ulifurahi kupita kiasi ndo sababu
 
britanicca , Kwa vyovyote vile bado hii taarifa inaendelea kuwa na uzito. Nakumbuka ulitema cheche kuhusu vijana watukutu wawili wenye mahusiano na habari Kwa tehama kutemwa, hilo limetimia.
 
Wanatolewa saivi uchaguzi ukipita wanaludishwa kama kawaida kwenye nafasi zao.... sasa hapo ndo hakuna Rangi tutaacha kuona, Siasa ni mahesabu...... kinachotumika hapo ni Political science tu.

Wekeni hii Comment mtaikumbuka.
Hilo tunafahamu mkuu.

Lakini acha tupumue kidogo kwa huo muda mchache wakiwa nje.
 
IMG-20240715-WA0966.jpg
 
Mwanadada wa mapingili shingoni Out

Jeni wa kuhusu utaratibu wa muhaga maaaa Out

Ndumba Aroooo out
Wa ma mineral out
February mauzi out

Kwanini mtoto wa millet sioni jina
Tusubiri

Britanicca
Mapingili anatumia uzuri wake hatoki ng'o
 
Back
Top Bottom