Tetesi: Secretary anasema haya kwa kunong’ona kwamba Mkeka

Tetesi: Secretary anasema haya kwa kunong’ona kwamba Mkeka

Mimi nakubaliana na mzee Tupatupa,
Kwamba Samia ameamua kuwapunguzia majukumu ili washughulikie swala la ilani ya chama ya 2025 - 2030.
Bila ya hivyo ni wale Samia hawezi kuwagusa
 
RRRR kazini.

Tunaziishi R 4 za mama Samia

Niliwahi kuandika zamani; Rais wa Tanzania ana nguvu ndani ya Tanzania kuliko Rais wa Marekani ndani ya Marekani.
Sababu ya katiba mbovu ya mkoloni
 
Kwa kweli wewe jamaa hapana. Ni zaidi ya wiki ukituuma sikio, lakini hatukusikia kama walio na masikio wasisikie na macho wasione. Wewe ni moja wa wale vichwa viwili siyo? Nadhani saa hizi unacheeka sababu ulikuwa unawachora tu watoto wa mjini waliokulia mikoani baba zao wakahamishiwa kikazi mjini na mwalimu nyerere
Naam
 
Mwanadada wa mapingili shingoni Out

Jeni wa kuhusu utaratibu wa muhaga maaaa Out

Ndumba Aroooo out
Wa ma mineral out
February mauzi out

Kwanini mtoto wa millet sioni jina
Tusubiri

Britanicca
Pale wizara ya afya kuna kikundi cha wezi kimeshindikana kipo tangu enzi katibu mkuu Blandina Nyoni,
 
Ok
Mwanadada wa mapingili shingoni Out

Jeni wa kuhusu utaratibu wa muhaga maaaa Out

Ndumba Aroooo out
Wa ma mineral out
February mauzi out

Kwanini mtoto wa millet sioni jina
Tusubiri

Britanicca
Ok
 
sema vile kashika kwenye makali hata yeye anapwaya sana eneo lake

umeme mdg kichwani
 
Mkuu britanicca heshima yako kaka hatimae imekuwa huyu mapingili nae shida nini au ndio anahisiwa kama ulivotanabaisha kwenye uzi wa SASHA.
 
Pia hapa kwa comment
IMG_4922.png
 
Back
Top Bottom