Uchaguzi 2020 Secretary Pompeo azungumzia kinachoendelea Tanzania kuhusu mambo ya Uchaguzi

Wewe endelea kusubiri hao wajomba zako wa nje waje wakusaidie.
IMG_20201102_172537.jpg
 
Wasiokuwa na akili ni wale wanaodai kukamata kura feki na kuzichoma moto badala ya kuzihifadhi kama exhibit. Kura watengeze wao wazipige watoe kilio feki halafu kabla ya watu wenye weledi hawajaziona wanazichoma moto. Watanzania hatudanganyiki
Wacha kelele, kama unataka ushahidi upo wa kila aina, hizo chache zilizochomwa haimaanishi ndio zimechomwa zote.

Mjifunze kufikiria kwa kutumia ubongo.
 
Hakuna jipya.

Uozo umekuwepo siku zote.

Tatizo lenu mko wepesi wa kusahau.

Na mpaka kufika 2025, haya ya 2020 mtakuwa mshayasahau na mtashiriki tena uchaguzi chini ya mazingira haya haya ya leo, jana, juzi, na majuzi.

2015 Lowassa hakukubaliana na matokeo. Unabisha?

2010 Slaa hakukubaliana na matokeo. Unabisha?
Kama wao hawakukubali wanajua wenyewe sababu zao, leo wote wako upande wa wanyonyaji.

Lissu is a completely different story, taka usitake.

Hiyo case study yako pelekea wajukuu zako.
 
Huko Marekani watu wana hofu juu ya ucjaguzi mkuu wa mwaka huu.
Watu wameanxa kubarrucade boqshara zao utqfikiri kuna tufani ya uppepo mkali!

We are deeply concerned by reports of election irregularities, politically motivated arrests, and violence during Tanzania’s elections last week. We urge authorities to fully address concerns of irregularities and will review allegations of the use of force against civilians.
View attachment 1618006

NB: Kwa wale wasioelewa ni kuwa kwa utaratibu wa Marekani, huyu akishaongea kinachofuata ni hatua za kinidhamu. Yani kwa upande wa Marekani huyu akishazungumza basi jiandae kwa kuchukuliwa hatua maana mwisho wa matamko ni kwa secretary of state.

Pili Marekani akishachukua hatua wanafuata washirika wake wa Ulaya.

Marekani kwa siku za karibuni imechukua hatua kali kwa wavurugaji wa uchaguzi mataifa mbalimbali
 
Kama wao hawakukubali wanajua wenyewe sababu zao, leo wote wako upande wa wanyonyaji.

Lissu is a completely different story, taka usitake.

Hiyo case study yako pelekea wajukuu zako.
Wewe ikifika 2025 utajitoa tena fahamu. Utasahau yote haya ya 2020.
 
We are deeply concerned by reports of election irregularities, politically motivated arrests, and violence during Tanzania’s elections last week. We urge authorities to fully address concerns of irregularities and will review allegations of the use of force against civilians.
View attachment 1618006

NB: Kwa wale wasioelewa ni kuwa kwa utaratibu wa Marekani, huyu akishaongea kinachofuata ni hatua za kinidhamu. Yani kwa upande wa Marekani huyu akishazungumza basi jiandae kwa kuchukuliwa hatua maana mwisho wa matamko ni kwa secretary of state.

Pili Marekani akishachukua hatua wanafuata washirika wake wa Ulaya.

Marekani kwa siku za karibuni imechukua hatua kali kwa wavurugaji wa uchaguzi mataifa mbalimbali
Mabeberu wameanza
 
Hawa wanasubiriaga vurugu zikue ndo waje kwa malengo ya kupenyeza mambo yao.
 
Kuna mtu ana jeuri sana. Ila ni mwoga wa kusafiri balaa

USA "taking" another Hugo Chavez soon I think
 
Wewe una tatizo la mahaba yaliyopitiliza yamekutia upofu wa akili, nakuona kama katuni.

Unaokoteza vi article vya kizungu unadhani utamdanganya nani?!

Kumbe kule kupiga mawakala, kuteka, na makura feki nchi nzima sio sababu ya US kuwaambia mchukue hatua kwa ujinga mliofanya kwenye uchaguzi!

Wewe ni super genious wa lumumba.
 
We are deeply concerned by reports of election irregularities, politically motivated arrests, and violence during Tanzania’s elections last week. We urge authorities to fully address concerns of irregularities and will review allegations of the use of force against civilians.
View attachment 1618006

NB: Kwa wale wasioelewa ni kuwa kwa utaratibu wa Marekani, huyu akishaongea kinachofuata ni hatua za kinidhamu. Yani kwa upande wa Marekani huyu akishazungumza basi jiandae kwa kuchukuliwa hatua maana mwisho wa matamko ni kwa secretary of state.

Pili Marekani akishachukua hatua wanafuata washirika wake wa Ulaya.

Marekani kwa siku za karibuni imechukua hatua kali kwa wavurugaji wa uchaguzi mataifa mbalimbali
Ndo mmeo au bwana yako,kesho anapigwa chini na mpumbavu mwenzake Trump
 
Back
Top Bottom