Uchaguzi 2020 Secretary Pompeo azungumzia kinachoendelea Tanzania kuhusu mambo ya Uchaguzi

Wao wenyewe wamevurugwa na uchaguzi wao wa kesho. Hawana muda na upuuzi wa nchi za dunia ya kumi
 
Jiwe ana shingo ngumu sana, lakini safari hii ameanza kuelekwa kibla taratiiibu!
 


Jipe moyo tu😂😂

Ndio ulichobakiza
 
Meanwhile Trump is deploying layers in Pennsylvania to stop black American from votting. Acheni utopolo tutaFUTE a haki zetu bila kutegemea wanafaki hawa walisupport Mabutu na Savimbi
 

Yaani kitendo cha kuwashika kina nguvu kuliko hata maandamano maana tulitaka tusikike nje ya Tanzania na imekuwa hivyo
 
Ajihusishe na wizi wa kura wa nchi yake....sisi Tanzania tumemchagua rais tumtakaye shida iko wapi?
 
Kuna member mmoja wa JF ameyaeleza haya matamko kwamba wazungu wamejitahidi kuchagua maneno na wameongea ilimradi tu waonekane wamekemea.hakuna action yoyote watakayochukua kama maslahi yao hayajaguswa
 
kuna member mmoja wa JF ameyaeleza haya matamko kwamba wazungu wamejitahidi kuchagua maneno na wameongea ilimradi tu waonekane wamekemea.hakuna action yoyote watakayochukua kama maslahi yao hayajaguswa
Uko sahihi mkuu
 
Acha ujinga wa kutisha watu.
 
Hii ni habari njema!
 
Wazungu Nia yao sio kuwasaidia Upinzani.Wazungu wanachimba mkwara ili serikali ijipendekeze kwao na kufanya Maslahi ya Wazungu kufanikiwa.Kuna watu watabaki Madarakani kwa rehani ya rasilimali zetu
 
Uchaguzi au uchunguzi?
Heading na habari vinayofautiana!

Waambie hao waingereza na Marekani, kwamba huu ulikuwa uchaguzi wetu na wao Wana uchaguzi wao, na tumeufanya kwa pesa yetu!
Na nchi yetu ni huru, na watanzania waliopiga kura wametulia na kazi zao
Kama demokrasia ni upinzani kushinda hiyo demokrasia itakuwa haina maana, other wise waseme kuwa ukoloni umerudi upya!
 
maccm hayana akili kabisa sijui hayajifunzi kwa nchi jirani zinavyohangaika kuilinda amani kwa gharama kubwa kwa kishindwa kuiruhusu demokrasia
Demokrasia ni nini mkuu?
Hii ya kulazimisha vijana kufanya maandamano ya uharibifu nayo tunaiitaje?
 
Na Commonwealth wameshatoa statement yao! tutaelewana tu!
 
Huyo Lowassa kama hakukubali matokeo alichukua hatua gani?

Again Lissu is a completely different story.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…