mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Fuata sheria na utii bila shurtiKwako wenye ruhusa ya kufanya uharibifu ni policcm pekee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuata sheria na utii bila shurtiKwako wenye ruhusa ya kufanya uharibifu ni policcm pekee
vp na wale wanaofukuza watu uanachama kisa wameenda bungeni? vp wale wanaochoma ofisi zao wenyewe alafu wanaita media? tunaziitaji izi siasa?? vp wale wanaosema kuna corona alafu wanafanya kampeni? ivi watoto wako wanajua unaitwa minyoo?Siasa za maji taka zipo CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi ni siasa za maji taka
Kwa mawazo yako ARV zinasambazwa Mataifa ya Afrika free of charge eeeh?Hofu yangu dozi ikikata halafu wahisani wakagoma kutuletea nyingine itakuwaje.Nawaza mambo mengi sana.Hahahahaaaaa
Uchaguzi wake unamshinda mpaka Trump analalama na kura za 'posta', sasa ndiyo awe naudhubutu wa kuulizia yasiyomuhusu! Kama kuna aliowatuma kuja kutuvuruga ajue ameliwa hiyo ela!hatua kali kwa wavurugaji wa uchaguzi mataifa mbalimbali
Wanasubiri wachina waje wawakingie kifua, hivi unaweza kuwaweka kando waingereza kwenye kuasisiwa kwa taifa letu na kutoa mchango mkubwa kwenye maendeleo baada ya hapo, huyo mchina alikuwa wapi?View attachment 1618016
UINGEREZA YATAKA UCHUNGUZI HURU UFANYIKE KUHUSU UCHAGUZI WA TANZANIA
Kulingana na taarifa iliotolewa na Uingereza na kuchapishwa tarehe mosi mwezi Novemba, Taifa hilo sasa linajiunga na mataifa mengine katika kuitisha uchunguzi huru ufanywe ili kuondoa wasiwasi unaozidi kuenea katika taifa La Tanzania
Waziri wa masuala ya Afrika James Duddridge amesema kwamba Uingereza inashangazwa na ripoti za ghasia na kiwango cha juu cha maafisa wa polisi katika vituo vya kupigia kura ikiwemo suala zima la kukamatwa kwa baadhi ya viongozi wa upinzani.
Amesema kwamba Uingereza pia ina wasiwasi kuhusu madai ya kuingiliwa kwa uchaguzi huo, kujazwa kwa kura katika masanduku ya kupigia kura na kuzuiliwa kwa mawakala wa vyama vya upinzani kuingia katika vituo vya kupigia kura.
Vilevile taifa hilo limeshangazwa na madai ya ripoti za ghasia na kiwango kikubwa cha maafisa wa polisi katika vituo vya kupigia kura wakati wa uchaguzi, ikiwemo kukamatwa kwa baadhi ya viongozi wa upinzani.
Kulingana na taarifa hiyo , Uingereza imesema kwamba kwa Tanzania kuwa dhabiti na kustawi katika siku za usoni , itahitaji mchakato wa kidemokrasia ulio huru na wa haki, unaoungwa mkono na vyombo vya habari vilivyo huru.
Source: BBC
Wanaweza wakagoma kutuuzia pia.Biashara maelewanoKwa mawazo yako ARV zinasambazwa Mataifa ya Afrika free of charge eeeh?