Section No 5 kwenye muswada wa Maseneta wa Marekani ni msiba mzito kwa CCM na Serikali yake

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
14,521
Reaction score
46,663
Ukisoma hiki kifungu namba 5 kwenye huu mswaada ambao kiuhalisia lazima baadhi ya viongozi wataingia kwenye shida hii kubwa
Nimejiuliza Sana mwenyewe kuwa kwanini serikali omepaniki Sana nikaja kugundua kilichomo ndani ya hii bill ni jeneza kabisa Kwa CCM...

Ebu soma hapa utapata jibu

MAREKANI YAPANGA KUWATAJA VIONGOZI WA TANZANIA WANAOTUHUMIWA KUKANDAMIZA DEMOKRASIA

SEHEMU YA 5: RIPOTI KUHUSU BAADHI YA WATU WALIO KWENYE NAFASI ZA UONGOZI TANZANIA
Ndani ya siku zisizozidi 180 tangu sheria hii kuanza kutumika, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani atawasilisha ripoti kwa Kamati husika za Bunge la Marekani ikijumuisha orodha ya watu wa kigeni ambao:

(1)
Wanashikilia nafasi za juu serikalini Tanzania, ndani ya uongozi wa CCM, Jeshi la Polisi Tanzania, JWTZ au Idara ya Usalama wa Taifa

Na (2)
Wanahusika moja kwa moja au kwa namna yoyote katika:
(A) Kuagiza, kusimamia au kuelekeza utekaji, kupotezwa kwa watu, au kuwekwa kizuizini kiholela kwa wapinzani wa kisiasa, waandishi wa habari au wanaharakati wa kiraia

(B) Unyanyasaji, vitisho, kukamatwa au matumizi ya nguvu dhidi ya waandishi wa habari, taasisi za habari au wanaharakati kwa lengo la kuzima sauti tofauti au kuficha taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu

(C) Kufungia au kudhibiti vyombo vya habari, internet au uhuru wa kujieleza ili kuficha ukiukwaji wa haki za binadamu au kuzuia usambazaji wa taarifa za kuaminika

(D) Ukiukwaji mkubwa wa uhuru wa dini, ikiwemo mateso dhidi ya watu au makundi kwa sababu ya dini zao, au vitendo vya ubaguzi, vitisho na ukandamizaji dhidi ya jamii za kidini

(E) Matumizi ya mbinu za ukandamizaji wa kimataifa dhidi ya raia wa Tanzania, watu wa diaspora au raia wa kigeni ndani na nje ya nchi

(F) Mauaji ya kiholela, mateso au ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu zinazotambuliwa kimataifa

(G) Au vitendo vingine vinavyokiuka haki za binadamu na uhuru wa kiraia unaolindwa na Katiba ya Tanzania.

Hii hapa chini ndiyo section yenyewe

Soma Pia; Maseneta wapendekeza mageuzi makubwa katika uhusiano kati ya Marekani na Tanzania, kufuatia ukatili uliotokea Oktoba 29
20260527_172352.jpg
 
View attachment 3596130
Safi sana tunasubiri kuona akina Samia wakiwajibishwa.
 
Mbona kama itakuwa ni viongozi wote sasa? Haitekelezeki hii sheria
 
Kitima kafanyaje? Maislam akili huwa makalioni ama? Yani huwa hakuelewi logic na facts na ni wepesi kutunga narratives na kujiaminisha.
Maislam yameingiaje? We ndo umesoma, msomi yaani?!!!🤣🤣
 
That’s almost a done deal. Miswada isiyohusu internal politics za Marekani huwa haikwami kirahisi. Senate ikiupitisha, U.S. House of Representatives haitakuwa na incentive yoyote ya kuupiga chini.
Tutazungumza na hao wa House of Representative wazuie Msaada usipite
 
That’s almost a done deal. Miswada isiyohusu internal politics za Marekani huwa haikwami kirahisi. Senate ikiupitisha, U.S. House of Representatives haitakuwa na incentive yoyote ya kuupiga chini.

Itakuwa poa sana! Huyu mhitimu wa Mangapwani, anatakiwa ajue Marekani ni zimwi kubwa sana. 😊
 
Back
Top Bottom