Nonchalant
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 344
- 494
Tusishangae wakauza pande la ardhi lenye madini kwa Trump ili muswada usipite.
Haha muswaada ukishaenda Congress tokea baraza la maseneta na baraza la wawakilishi na kupitishwa, Trump hawezi kuzuia tena zaidi ya kusaini tu.Tusishangae wakauza pande la ardhi lenye madini kwa Trump ili muswada usipite.
Turn these tables to the USA and see how many countries they have interferedUkisoma hiki kifungu namba 5 kwenye huu mswaada ambao kiuhalisia lazima baadhi ya viongozi wataingia kwenye shida hii kubwa
Nimejiuliza Sana mwenyewe kuwa kwanini serikali omepaniki Sana nikaja kugundua kilichomo ndani ya hii bill ni jeneza kabisa Kwa CCM...
Ebu soma hapa utapata jibu
MAREKANI YAPANGA KUWATAJA VIONGOZI WA TANZANIA WANAOTUHUMIWA KUKANDAMIZA DEMOKRASIA
SEHEMU YA 5: RIPOTI KUHUSU BAADHI YA WATU WALIO KWENYE NAFASI ZA UONGOZI TANZANIA
Ndani ya siku zisizozidi 180 tangu sheria hii kuanza kutumika, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani atawasilisha ripoti kwa Kamati husika za Bunge la Marekani ikijumuisha orodha ya watu wa kigeni ambao:
(1)
Wanashikilia nafasi za juu serikalini Tanzania, ndani ya uongozi wa CCM, Jeshi la Polisi Tanzania, JWTZ au Idara ya Usalama wa Taifa
Na (2)
Wanahusika moja kwa moja au kwa namna yoyote katika:
(A) Kuagiza, kusimamia au kuelekeza utekaji, kupotezwa kwa watu, au kuwekwa kizuizini kiholela kwa wapinzani wa kisiasa, waandishi wa habari au wanaharakati wa kiraia
(B) Unyanyasaji, vitisho, kukamatwa au matumizi ya nguvu dhidi ya waandishi wa habari, taasisi za habari au wanaharakati kwa lengo la kuzima sauti tofauti au kuficha taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu
(C) Kufungia au kudhibiti vyombo vya habari, internet au uhuru wa kujieleza ili kuficha ukiukwaji wa haki za binadamu au kuzuia usambazaji wa taarifa za kuaminika
(D) Ukiukwaji mkubwa wa uhuru wa dini, ikiwemo mateso dhidi ya watu au makundi kwa sababu ya dini zao, au vitendo vya ubaguzi, vitisho na ukandamizaji dhidi ya jamii za kidini
(E) Matumizi ya mbinu za ukandamizaji wa kimataifa dhidi ya raia wa Tanzania, watu wa diaspora au raia wa kigeni ndani na nje ya nchi
(F) Mauaji ya kiholela, mateso au ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu zinazotambuliwa kimataifa
(G) Au vitendo vingine vinavyokiuka haki za binadamu na uhuru wa kiraia unaolindwa na Katiba ya Tanzania.
Hii hapa chini ndiyo section yenyewe
Soma Pia; Maseneta wapendekeza mageuzi makubwa katika uhusiano kati ya Marekani na Tanzania, kufuatia ukatili uliotokea Oktoba 29
View attachment 3596130
Wewe lofa mbona hakuna kitu umejibuGentleman,
mbona ni issue nyepesi na ya kawaida sana hiyo aise politically speaking?
huna haja ya kuzua taharuki kwa wadau wa Jf, kwa kitu ambacho katika diplomasia ya sasa sio cha ajabu wala cha kushangaza hata kidogo, unless uelewa na ufahamu wako kwenye masuala ya kimataifa hususani nyakati hizi, huenda ni kidogo sana na hautoshi 🐒
calm down bas gentleman, relax and don't panic,Wewe
Wewe lofa mbona hakuna kitu umejibu
