Kumeanza kuchangamkaUkisoma hiki kifungu namba 5 kwenye huu mswaada ambao kiuhalisia lazima baadhi ya viongozi wataingia kwenye shida hii kubwa
Nimejiuliza Sana mwenyewe kuwa kwanini serikali omepaniki Sana nikaja kugundua kilichomo ndani ya hii bill ni jeneza kabisa Kwa CCM...
Ebu soma hapa utapata jibu
MAREKANI YAPANGA KUWATAJA VIONGOZI WA TANZANIA WANAOTUHUMIWA KUKANDAMIZA DEMOKRASIA
SEHEMU YA 5: RIPOTI KUHUSU BAADHI YA WATU WALIO KWENYE NAFASI ZA UONGOZI TANZANIA
Ndani ya siku zisizozidi 180 tangu sheria hii kuanza kutumika, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani atawasilisha ripoti kwa Kamati husika za Bunge la Marekani ikijumuisha orodha ya watu wa kigeni ambao:
(1)
Wanashikilia nafasi za juu serikalini Tanzania, ndani ya uongozi wa CCM, Jeshi la Polisi Tanzania, JWTZ au Idara ya Usalama wa Taifa
Na (2)
Wanahusika moja kwa moja au kwa namna yoyote katika:
(A) Kuagiza, kusimamia au kuelekeza utekaji, kupotezwa kwa watu, au kuwekwa kizuizini kiholela kwa wapinzani wa kisiasa, waandishi wa habari au wanaharakati wa kiraia
(B) Unyanyasaji, vitisho, kukamatwa au matumizi ya nguvu dhidi ya waandishi wa habari, taasisi za habari au wanaharakati kwa lengo la kuzima sauti tofauti au kuficha taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu
(C) Kufungia au kudhibiti vyombo vya habari, internet au uhuru wa kujieleza ili kuficha ukiukwaji wa haki za binadamu au kuzuia usambazaji wa taarifa za kuaminika
(D) Ukiukwaji mkubwa wa uhuru wa dini, ikiwemo mateso dhidi ya watu au makundi kwa sababu ya dini zao, au vitendo vya ubaguzi, vitisho na ukandamizaji dhidi ya jamii za kidini
(E) Matumizi ya mbinu za ukandamizaji wa kimataifa dhidi ya raia wa Tanzania, watu wa diaspora au raia wa kigeni ndani na nje ya nchi
(F) Mauaji ya kiholela, mateso au ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu zinazotambuliwa kimataifa
(G) Au vitendo vingine vinavyokiuka haki za binadamu na uhuru wa kiraia unaolindwa na Katiba ya Tanzania.
Hii hapa chini ndiyo section yenyewe
Soma Pia; Maseneta wapendekeza mageuzi makubwa katika uhusiano kati ya Marekani na Tanzania, kufuatia ukatili uliotokea Oktoba 29
View attachment 3596130
Gentleman,Ukisoma hiki kifungu namba 5 kwenye huu mswaada ambao kiuhalisia lazima baadhi ya viongozi wataingia kwenye shida hii kubwa

Gentleman,Mzee wa "gentleman" Tlaatlaah njoo uitetee serikali yako huku inasemwa vibaya
Kila la kheri, jomba!😁Tutazungumza na hao wa House of Representative wazuie Msaada usipite
🤣🤣🤣Marekani ni kubwa aisee! Kidogo tuu watu washapoteana. Na huo ni muswada tuu. 😊
Kidiplomasia mzeeKila la kheri, jomba!😁
Unaonekana Una hoja utatusaidia kuijibu Marekani.Gentleman,
wajibu wangu ni kueleza ukweli mtupu, kwenye mambo ya msingi tu na si vinginevyo.
hata hivyo,
muungwana mtoa hoja anajaribu kukuza kajambo kdogo tu na ka kawaida sana katika diplomasia, na kujaribu kutumia uelewa na ufahamu mdogo wa wadau wengi wa Jf kuhusu masuala ya diplomasia ya kisasa, kufanya eti kajambo hako kama vile ni jambo jipya, kubwaaaaa na la kushangaza, kumbe ni maoni binafsi ya seneta Ted Cruz ambae hata haijawahi kukanya Tanzania.
Epukeni kupotoshwa kirahisi na hao wafuata mkumbo 🐒
sio Marekani tu gentleman,Unaonekana Una hoja utatusaidia kuijibu Marekani.
Sawasio Marekani tu gentleman,
na yeyote yule ulimwenguni mwenye mawazo potofu dhidi ya ukweli mtupu kwenye mambo ya Tanzania na serikali yake sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan 🔥
Huwezi kuwa mshirika wa mahasimu wa USA halafu ukachomoka kirahisi. Maduro ilimgharimu!Kidiplomasia mzee
Ngoja tuoneHuwezi kuwa mshirika wa mahasimu wa USA halafu ukachomoka kirahisi. Maduro ilimgharimu!
Swali lako ni la kijingaWangalimpeleka babu yako kupanda mahindi America?
Ukiwa mkubwa ndo utajua kumbe Dunia ina wakubwa, utaonea wenzio, utawatesa na kuwanyanyasa lkn ukizidi kipimo lzm wakubwa hao wakupige stop. Ndivyo ilivyo hata kwenye familia zetu kama wewe ni kaka mkubwa unaweza kuwa na nafasi ya kuwagonga gonga wadogo zako lkn ukivuka kipimo lzm wazazi wakutulize na ukileta ujeuri kinakulamba kbs.Ukisoma hiki kifungu namba 5 kwenye huu mswaada ambao kiuhalisia lazima baadhi ya viongozi wataingia kwenye shida hii kubwa
Nimejiuliza Sana mwenyewe kuwa kwanini serikali omepaniki Sana nikaja kugundua kilichomo ndani ya hii bill ni jeneza kabisa Kwa CCM...
Ebu soma hapa utapata jibu
MAREKANI YAPANGA KUWATAJA VIONGOZI WA TANZANIA WANAOTUHUMIWA KUKANDAMIZA DEMOKRASIA
SEHEMU YA 5: RIPOTI KUHUSU BAADHI YA WATU WALIO KWENYE NAFASI ZA UONGOZI TANZANIA
Ndani ya siku zisizozidi 180 tangu sheria hii kuanza kutumika, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani atawasilisha ripoti kwa Kamati husika za Bunge la Marekani ikijumuisha orodha ya watu wa kigeni ambao:
(1)
Wanashikilia nafasi za juu serikalini Tanzania, ndani ya uongozi wa CCM, Jeshi la Polisi Tanzania, JWTZ au Idara ya Usalama wa Taifa
Na (2)
Wanahusika moja kwa moja au kwa namna yoyote katika:
(A) Kuagiza, kusimamia au kuelekeza utekaji, kupotezwa kwa watu, au kuwekwa kizuizini kiholela kwa wapinzani wa kisiasa, waandishi wa habari au wanaharakati wa kiraia
(B) Unyanyasaji, vitisho, kukamatwa au matumizi ya nguvu dhidi ya waandishi wa habari, taasisi za habari au wanaharakati kwa lengo la kuzima sauti tofauti au kuficha taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu
(C) Kufungia au kudhibiti vyombo vya habari, internet au uhuru wa kujieleza ili kuficha ukiukwaji wa haki za binadamu au kuzuia usambazaji wa taarifa za kuaminika
(D) Ukiukwaji mkubwa wa uhuru wa dini, ikiwemo mateso dhidi ya watu au makundi kwa sababu ya dini zao, au vitendo vya ubaguzi, vitisho na ukandamizaji dhidi ya jamii za kidini
(E) Matumizi ya mbinu za ukandamizaji wa kimataifa dhidi ya raia wa Tanzania, watu wa diaspora au raia wa kigeni ndani na nje ya nchi
(F) Mauaji ya kiholela, mateso au ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu zinazotambuliwa kimataifa
(G) Au vitendo vingine vinavyokiuka haki za binadamu na uhuru wa kiraia unaolindwa na Katiba ya Tanzania.
Hii hapa chini ndiyo section yenyewe
Soma Pia; Maseneta wapendekeza mageuzi makubwa katika uhusiano kati ya Marekani na Tanzania, kufuatia ukatili uliotokea Oktoba 29
View attachment 3596130
Ndiyo, ni almost viongozi wote..Mbona kama itakuwa ni viongozi wote sasa? Haitekelezeki hii sheria
Tutazungumza na hao wa House of Representative wazuie Msaada usipite