Section No 5 kwenye muswada wa Maseneta wa Marekani ni msiba mzito kwa CCM na Serikali yake

Kumeanza kuchangamka
 
Gentleman,
mbona ni issue nyepesi na ya kawaida sana hiyo aise politically speaking?

huna haja ya kuzua taharuki kwa wadau wa Jf, kwa kitu ambacho katika diplomasia ya sasa sio cha ajabu wala cha kushangaza hata kidogo, unless uelewa na ufahamu wako kwenye masuala ya kimataifa hususani nyakati hizi, huenda ni kidogo sana na hautoshi ๐Ÿ’
 
Mzee wa "gentleman" Tlaatlaah njoo uitetee serikali yako huku inasemwa vibaya
Gentleman,
wajibu wangu ni kueleza ukweli mtupu, kwenye mambo ya msingi tu na si vinginevyo.

hata hivyo,
muungwana mtoa hoja anajaribu kukuza kajambo kdogo tu na ka kawaida sana katika diplomasia, na kujaribu kutumia uelewa na ufahamu mdogo wa wadau wengi wa Jf kuhusu masuala ya diplomasia ya kisasa, kufanya eti kajambo hako kama vile ni jambo jipya, kubwaaaaa na la kushangaza, kumbe ni maoni binafsi ya seneta Ted Cruz ambae hata haijawahi kukanya Tanzania.

Epukeni kupotoshwa kirahisi na hao wafuata mkumbo ๐Ÿ’
 
Unaonekana Una hoja utatusaidia kuijibu Marekani.
 
Unaonekana Una hoja utatusaidia kuijibu Marekani.
sio Marekani tu gentleman,
na yeyote yule ulimwenguni mwenye mawazo potofu dhidi ya ukweli mtupu kwenye mambo ya Tanzania na serikali yake sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan ๐Ÿ”ฅ
 
Ukiwa mkubwa ndo utajua kumbe Dunia ina wakubwa, utaonea wenzio, utawatesa na kuwanyanyasa lkn ukizidi kipimo lzm wakubwa hao wakupige stop. Ndivyo ilivyo hata kwenye familia zetu kama wewe ni kaka mkubwa unaweza kuwa na nafasi ya kuwagonga gonga wadogo zako lkn ukivuka kipimo lzm wazazi wakutulize na ukileta ujeuri kinakulamba kbs.
 
Uwiiiiiii kumbe ndio maana walikuwa wanapayukapayuka hii kitu sio mchezo!! Kama vimejumuishwa vyombo vya dola usishangae vikaitwa vikaitwa vyombo vya kigaidi
 
Mbona kama itakuwa ni viongozi wote sasa? Haitekelezeki hii sheria
Ndiyo, ni almost viongozi wote..

Na logic na implication yake ni simple tu:

Kwamba, Chama Cha Mapinduzi (CCM) impliedly serikali inayoongozwa na CCM kutangazwa kuwa ni chama cha kigaidi pamoja na serikali yake...
 
Watu wenye akili nzuri na timamu hujadili hoja yoyote ile kwa kuangalia facts zilizomo;

1. Uhalifu umefanyika au haujafanyika?
2. Wahalifu wamesughulikiwa kwa mujibu wa sheria?
3. Muswada wa Marekani unalenga kushughulika na wahalifu?

Ili kuilinda na kuthibitisha sovereignty lazima kushughulikia watuhumiwa kisheria haraka na bila upendeleo.
Marekani na washirika wake hawatakuwa na la kusema.

Changamoto kubwa kwa serikali ya Tanzania ipo zaidi kwa watendaji/watumishi/wataalamu wa Uma kuliko kwa wanasiasa.
Waliosimamia, kuhesabu na kuandika kura za ushindi siyo wagombea walioshinda.
Hata Rais Samia aliambiwa umeshinda kwa kishindo 98%.
Hakuandika wala kusema yeye mwenyewe.
Yawezekana kelele zinavyokuwa nyingi hivi, hata waliotangazwa washindi wanawashangaa waliohesabu, kuandika na kutangaza.
Watanzania ni ndugu na taifa moja. Tufundishane, tuonyane, tuwajibishane tusonge mbele.
 
Kuimba kupokezana aisee dah, hawa watu walijioana miungu watu walioletwa duniani kutumbua tu, wamejaa kiburi, sijawahi kutegemea ndani ya maisha yangu kuja kuona hii panic ya hawa watu aisee! Moja haikai mbili haikai

Mungu wabariki sana wazungu hasa kaka mkubwa na kiranja mkuu US kwa kubalance shobo za dunia, kila anayeota sikio likazidi kichwa anamtolea macho tu bila kujali rangi nyeusi au nyeupe
 
Tutazungumza na hao wa House of Representative wazuie Msaada usipite

Kombwa alishaenda hadi kutoa deal la madini ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ akapiga buyu

Atarudi tena mkuu? Aliondoka na barua 25 za mama na maofa kedekede ya maliasili za shithole kwenda kuzigawa duniani zimuokoe โ€œmamaโ€ kasema mwenyewe ujue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ