Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

Na Katibu wa Ikulu watu watatu wanaoukula na kusoma na Magufuli.

Rais wetu aliwindwa. Machi 15 Marekani imetangaza Kupeleka wakufunzi wake Msumbiji.

Tusubiri kuona Mradi wa Gesi unafufuka tena, au fujo zaidi Mtwara
 
akili finyu ni kudhani kujinga na corona ni kuvaa barakoa.
ni finyu tena nyembamba sana.
Jiwe kafa kwa kiburi chake cha kudharau Corona, yeye na Nkurunzinza ndio marais pekee waliojifanya hawajali protocol za kiafya kuhusu Corona na wameondoka, Marais wenye akili Timamu kama Museven, Kagame na wastaafu wengine japo ni wana umri mkubwa kuliko jiwe wamefuata masharti yao na bado wanaishi
Pole sana MATAGA kw kumpoteza Mungu wako, alikuwa na kiburi na kujitia mjuaji sana
 
Utaongea kila linalokuwasha.

Ila haiondoi ukweli kwamba corona tumeipuuza, wewe mwenyewe ulipo huvai barakoa. Ila sababu ni jiwe ndiye aliongoza hilo unajikuta tu kalio linapwita unadiss.
 
Kwahiyo Marekani walitoa pole?
 
Kwa nini kifo kitangazwe Dunia nzima kua ni corona, tena kwa nguvu kubwa, na kama kweli corona ipo kwa nini wanausalama waruhusu misongamano isiyo salama bila tahadhari? Mwisho lazima tujiulize maswali kwa nini pongezi zije kwa wingi kuliko pole,
Mkuu ukishakufa umekufa, watu wanaangalia mbele. Hata maandiko matakatifu yanasema acha wafu wazike wafu wao
 
Huyo jamaa alikuwa anajifanya kichwa maji sana, alidhani corona itamuogopa kwa sababu yeye ni ccm, alikosea pakubwa sana kuwakashifu viongozi wa dini waliokuwa wanahimiza watu kuchukua tahadhari na kujaribu kujikinga na covid19 bila kujua kwamba ule ugonjwa hauna masihara, lakini alicukiwa na wengi sana na hii ilimuweka hatarini yeye binafsi
 
Utaongea kila linalokuwasha.

ila haiondoi ukweli kwamba corona tumeipuuza,wewe mwenyewe ulipo huvai barakoa,ila sababu ni jiwe ndiye aliongoza hilo.unajikuta tu kalio linapwita unadiss.
Jiwe kaipuuza na sasa funza wanamsubiri, hadi mke wake alikuwa anamuona mpuuzi ndio maana baada ya jiwe kufa sasa hivi anavaa barakoa
 
Weee! Nae bana jirekebishe!!! Kwani huwezi ku summerise jambo???!!!!.

Tutasoma mengine saa ngapi?
Hao USA Waje tu huenda tukipigana na kuvurugana humu akili zitakaa sawa!!

Ccm wamezidi ujinga bana.na ndio hao hao wanawaleta.hasa huyu rugumyaaa!!.... Aliwawekea kichwa ngumu kuchukua dhahabu zao!! Wkt yeye hajui matumizi yake na ni msomi kabisaa. Anazikatalia ooohoo!!!""""Dhahabu Zeeetu??? Mungu katupatia!iiiishhhhss!!!

""What'd u say???? Enhee!!! son of serpent..???....
 
Hujasikiliza hotuba za Marais walikwenda msibani wewe
 
Hujasikiliza hotuba za Marais walikwenda msibani weqe
Hotuba zote zinakuwa ni za kumpamba mtu mkuu, kwa ajili tu ya utamaduni, kinachokupa uhalisia kama wanaamini falsafa zake ni matendo yake
Mfano Ramaphosa kamsifia Magufuli kuwa hasafiri nje kwa ajili ya kuitumikia nchi yake, Lakini kama ni jambo zuri kutokusafiri kabisa mbona yeye husafiri na kuhudhuria mikutano mingi ya kimataifa?
 
Dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…