Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Na Katibu wa Ikulu watu watatu wanaoukula na kusoma na Magufuli.Nawaza kijazi na Magufuli case ni sawa kwa nini walinzi wako salama, msigwa yuko salama hana corona, nawaza isije kua walitumia barua rasmi ikasomwa na CS kijazi baadae mzee akaisoma ikawa balaa, kifo hiki sio kawaida, nadhani wanausalama wetu wajitahidi kufanya uchunguzi, maana baada ya ziara ya waziri wa China, tulikwenda ngara tukawa na mwingereza balozi bado maswali ni mengi
Rais wetu aliwindwa. Machi 15 Marekani imetangaza Kupeleka wakufunzi wake Msumbiji.
Tusubiri kuona Mradi wa Gesi unafufuka tena, au fujo zaidi Mtwara