Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

Mjomba pasco siku hizi makala zako azina mvuto ukisoma page mbili tu unachoka uhitaji kuendelea tatizo nini hivi mfano ukikosa wachangiaji ukikosa na wasomaji itajisikiaje kama kitu unakipenda wewe kipende wewe usitushawishi na sisi tukipende ccm wanayumba angalia zanzibar huko wanachotaka kufanya hivi haki kweli
 
Ku
Kuna mtu alikutabiria ukurugenzi mawasiliano ikulu nadhan ungemweleza boss
 
Sasa ulitaka akaungane na Kabendera halafu familia yake aitunze nani
 
Mimi nitakuwa wa kwanza kuambatana nao msituni kwa mafunzo zaidi...
 
Chakula kikikosekana tumboni Asidi au tindikali humeng'enya utumbo!ndio mana jpm amewafanya amewafanya watz wanaomkosoa magaidi ya kuuawa kwa risasi na kuyatupa baharini kwasasabu alikosa wa kuwafanyia ufedhuli!!sasa ngoja magaidi halisi waingie nchini ili risasi zipate wa kumpiga ili wamalize usongo wao!!!
 
Mpango wenyewe uko hivi:
  1. Kuna mambo ya jinsi rais Magufuli anavyoendesha nchi, Wamarekani hawapendi.
Paskali
Mkuu Pascal, kuna mambo ya jinsi raisi Magufuli anavyoendesha nchi, Watanzania hawapendi.

Na umejiuliza Watanzania wasiopenda Magufuli anavyoendesha nchi wakasema hivyo hadharani wanaishia wapi? Wewe ulihojiwa na Kamati ya Bunge, na nitasema wazi kwako kwamba kama sio kufahamiana kwa ukaribu na wat fulani fulani (na mara nyingine kuwasifia) wala hata huko Kamati ya Bunge usingefika. Tungekuwa tunakuongelea katika past tense, kama ilivyowatokea wengine, kwa kuwa wakati huo eidha hawakukuelewa ulisimamia wapi, au kwa kuwa baada ya kufikishwa Kamati ya Bunge ulikuwa "converted".

Sasa tusidhani au kupotosha umma kwamba tatizo la Marekani kwa Magufuli ni suala la demokrasia yetu tu. Na wala sio suala la ushoga. Kuna nchi zina demokrasia mbaya kuliko hii yetu, na kuna nchi zina msimamo mkali dhidi ya ushoga kuliko Tanzania, lakini Marekani hawajasema neno hata moja juu yao. Tusiandike kama vile Wamarekani wame declare kuwa interested na demokrasia ya Tanzania au kupenda makalio ya Watanzania kuliko nchi nyingine.

Kwa leo acha niishie hapa.
 
1,3,4 na 5 siyo tu Marekani hawafurahishwi mkuu. Watanzania wengi hawavutiwi na jinsi hii nchi inavyoedeshwa hayo mengine sina uhakika nayo.
Kama ni kweli watanzania hawavutiwi na mfumo wa uendeshaji wa serikali yetu mbona katika uchaguzi wa serikali za mitaa CCM imepata ushindi wa 99%??

Tanzania tuna akiba ya dola bilioni 4 zinazoweza kuendesha nchi kwa miezi minne.Marekani hatuwezi.Sisi ni donor country.
 
Mkuu hawa majamaa wametupima na kujua kuwa udhaifu wetu upo kwenye dini.

Hiyo itakua njia rahisi ya kutuvuruga.

Huko kwenye sekta ya madini wameona wanapoteza.

Fahamu kuwa, Sekta ya madini mabeberu wamejaza majasusi wastaafu ndio wanaofanya hizo shughuli. ( Inabidi pia na sisi tuweke assests wetu huko, tena wale wazalendo haswa)

Kwakua sekta ya madini ni muhimu mno, na kuwabana huko ni kuwanyima ulaji hawana namna zaidi ya kuretaliate.

Serikali inapaswa kuwa makini mno, kwenye maswala ya Udini na hasa Uhaguzi wa 2020.

Kila la heri mama Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…