Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

Coaster2015,
Hiyo #2 ni kichocheo kinachoweza kumpatia nafasi serikalini dakika za lalasalama, Pasiko ni mjanja anajua analolisema kwani Post hii ameileta baada ya naibu balozi wa Marekani kukutana na mhe. Hamad huko Zanzibar.
Kwa hiyo fursa za uteuzi ndio huwa zinatafutwa hivyo ?, Ndugu yetu Kabendera alitendwa pia
 
Kujamba ajambe Magufuli, lawama kwa Wamarekani!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu waajabu sana, Leo pitisha utafiti kujua hivi CCM ya Magufuli na hao US nani anaaminiwa kuwa ni mkweli?
Jibu litashangaza kila mtu, hakuna mfanyabiashara,mwanafunzi, mkulima au mfanyakazi ambaye anaamini kuwa CCM ni wakweli.
US wametoa taarifa kuwa Makonda anahusika na uuaji wa watu, lakini hakuna chochote kilichofanywa hata kuulizia ushahidi tuu. Kwa hiyo serikali inakuwa na mkuu wa mkoa ambaye ni muuaji (hata tetesi kabla ya US zilikuwepo) na haionyeshi kujali hisia za wananchi kisa kuna mtu mlimpa cheo kwa kura zenu hataki kusikia kitu kwa huyo kwa sababu zake. Pumbaf sana! Nchi za utawala bora kitu kama hicho hukuti, halafu wananchi wakichoka mnamsingizia US wakati angetaka muishe angeweza kusimamisha msaada wa ARV na Malaria na tungejifia kuliko Coronavirus!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea kitu cha msingi sana, binafsi nimeshaweka bandiko kuhusu uropokaji wa viongozi wa serikali, tuache kutoa matamko yasiyokuwa na maana sana sana yanachochea matatizo makubwa.hawa jamaa hatuwawezi wakituamlia, lazima viongozi watambue hilo na wawe na hekima.
 
Mwambie ngosha aweke tume huru,utamkuta kwao kalala na wale simba 17 wakimliwaza.
Watanzania 90%wakiongozwa na ccm hawamtaki,paskali unaposema ameshinda uchaguzi ambao alitumia ubabe wa kukata majina yote ya wapinzani wake,huna tofauti na akili za lusinde au msukuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo wimbo Wa kila siku libya libya hauuziki na walla sio ajenda,ATUWEZIMJUA GADAFF ZAIDI YA WALIBYA kama Gadafi angewaunganisha watu wake wakawa wammoja adui angepenyea wapi.Hakuna silaha kubwa Sana kama kuwaunganisha watu wako kuwapenda watu wako ukiwapenda watu wako utowasomesha namba,utawalinda dhidi ya wasiojulikana
 
Tanzania haina umuhimu kivile kwa Marekani mpaka Marekani ianze kufikiria suala la ‘regime change’.

Mnajipa umuhimu ambao hamna mbele ya Marekani:
 
Mafi matupu

Mbbbbrrrtttttrrrrrr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brother Paschal wacha chenga mingi!! Je chanzo cha tatizo hakijulikani? "Haki huliinua taifa"
 
Huu mfumo kristo unafanya vipi kazi ktk Jamhuri ambayo viongozi wa juu 4 Kati yao 1 tu ndio mkristo?

1) Magufuli (mkristo)

2) Samia (Islam)

3) Shein. (Islam)

4) Majaliwa (Islam)

hivi mfumo kristo unatekelezwa vipi na mipango yake inapangwapangwa vipi. Otherwise hawa watatu ni waislam majina tu.

Hizi habari mara kadhaa huwa ninamskia Zitto kabwe akizihubiri Sasa naona ameamua kuziweka ktk andiko moja.

Hata kama hamtaki Magufuli na utawala wake bado sioni idadi ya Watanzania wa kumfanya Zitto kuwa rais wa nchi hii. Maswala ya kigaidi nadiriki kusema yakilelewa na awamu ya 4 ndipo awamu ya 5 ikachukua maamuzi thabiti kuidhibiti KIBITI ambayo ilianza kushamiri matukio ya uhalifu. Kupotea watu 380 KIBITI kama ni kweli taarifa zao zimetolewa wapi? Kwa kawaida ndg/Jamaa hupaswa kutoa taarifa ya kupotea ndg yao kituo cha police ambapo taarifa ya maandishi hufunguliwa kwa ajili ya ufuatiliaji. Kwao limefanyika? Kama halijafanyika kwa nn?(hisia za kihalifu).

Rais Magufuli amefanya kazi kubwa Sana kuleta amani KIBITI na si kama amavyosemwa huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba niseme kua watanzania tunatakiwa kujifunza kwa kile ambacho tayari kimekwisha tokea hapo awali. Wacha tujikumbushe kidogo kwa kina GADDAFI na SADAM HUSSEIN, nini kinaendelea mpaka sasa katika nchi zao ?, Je, wananchi wamepata ahueni ya maisha tofauti na hapo awali na vipi kuhusu hali ya kiusalama ya Mataifa yao hapo awali na sasa!. Niombe watanzania tuilinde amani yetu kwa mikono miwili, Kwa pamoja tuikosoe serikali kwa kila linaloonekana liko tofauti pasi na kufuata katiba ya Nchi yetu. Lakini si kwa huu mpango mkakati wa kutaka kuiharibu amani yetu ya kudumu, MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Mitanzania mijinga sana yaani hata kujifunza kwa waloharibiwa nchi zao kwa hila ka hizi(Libya) .. Endeleeni kushadadia tuu ujinga mkidhani marekani anajali hii nchi..
Nyie ngojeni tuuu si mnajifanya wajingA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ni awamu hii ndo tatizo tangu uhuru plus awamu zote zilizopita uhusiano ulikuwa mzuri mbona.Libya ilivurugwa kwa makosa ya Gadaffi kutowaunganisha walibya,makosa mfanye nyie tena mmeonywa Sana leo mmwatupie wengine lawama kweli.Libya aikuwa na umoja thus ikasambaratika ubaguzi,ukosefu wa demokrasia,uvunjifu wa haki za binadamu,kubambikia kesi watu,kusomesha watu namba ili watawaliwe kirahisi,kufuga wasiojulikana wenye nguvu kuliko dola,kuchezea kodi za umma,kuwanyima watu haki ya kuwachagua wawakilishi wao,kuwanyima watu haki ya kuishi je USA ndo kavileta?
 
Waambie waliyosababisha haya watakusikia labda ilionywa Sana wakaweka pamba,meli ishang'oa nanga airudi rivaz
 

Hakuna demokrasia ya Africa! na US demokrasia ni hiyo hiyo. Vilevile ni watu wa CCM tu ndiyo wanaamini CCM ilishinda kwa 99% Watanzania wengi na majority ya watu wanajua wapinzani wamezuiwa kushiriki. Tatu ni kweli nchi yetu itaingia kwenye matatizo makubwa san mwaka kesho ikiwa ni pamoja na vikwazo na watu wengi wa serikali kupata zuio kama la Makonda. Nne Tatizo ni malalamiko mengi sana yanayotoka taasisi mbalimbali , upinzani na wapenda Tanzania kwa US na EU. Hizi barua ni nyingi sana nasikia malalamiko ni mengi sana na walalamikaji ni Watanzania wenyewe sio mabeberu. Tano Usalama wa taifa ni kufikiri kwa manufaa ya nchi badala ya kujaribu kupambana na nchi kubwa yenye resources kama US ni ujinga kwa nchi kujaribu kushindana tutaishia umasikini tu hivi mfano wakizuia watu wao kuja kutalii itakuwaje? wakati wenyewe ndiyo wanaongoza kuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…