Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Sasahuu uzi umeweka mambo sawa.JPM hafai.Aliapa kulinda katiba kashindwa end of story
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasahuu uzi umeweka mambo sawa.JPM hafai.Aliapa kulinda katiba kashindwa end of story
Kwa nini mnazusha!!! Ilisemwa kila mwanasiasa afanye siasa kwenye eneo lake la uwakilishi!!! Hapo uzuiaji unatoka wapi!?,Tuliwanyima wapinzani nafasi ya kusema ndani ya nchi wakatafuta wa kuwsemea nje ya nchi.Mlitaka kwa sababu mmewabana ndani ya nchi wafanyaje?
Mwanasiasa ni nani? na Eneno lake ni lipi?Kwa nini mnazusha!!! Ilisemwa kila mwanasiasa afanye siasa kwenye eneo lake la uwakilishi!!! Hapo suzuiaji unatoka wapi!?
Tafuta majibu mwenyewe!! No spoon feeding here, Mkuu. Ha ha haaa!Mwanasiasa ni nani? na Eneno lake ni lipi?
Zingatia kwamba,Mtanzania anao uhuru wa kuishi popote na kufanya chchote mradi havunji sheria za nchi.Sasa unaposema Eneo lake lazima uweke sawa eneo lake ni lipi?Huwezi kuchanganya Mikutano ya Wabunge na mikutano ya wanasiasa.Wanasiasa sio lazima wawe wabunge/madiwani.Tafuta majibu mwenyewe!! No spoon feeding here, Mkuu. Ha ha haaa!
You are free but not to that extentKitu kimoja tu bila kujali chama tusiharibu amani na utulivu wa nchi tufanye siasa safi tushindane kwa hoja bila uadui ila sasa naomba walioko madarakani kuweka mfumo wa haki na uhuru wa kuongea haijalishi unapenda au hupendi kusikia watu wawe uhuru wa kuongea ila kuchochea kuvunja amani isikubalike. sasa sisi kauli zote za kupiga marufuku haki sio sawa mbaya zaidi ikifika wakati mtu hana imani na vyombo vya usalama au mahakama basi ishara mbaya sana ni lazima tuweke mahakama zetu huru kabisa ili sehemu ya kwenda kudai haki na ukishindwa basi uwe umeridhika kuwa haki imetendeka bila kuwa na vitu hivi sio usalama tu utakuwa hatarini hata uwekezaji hautakuja. uchaguzi ni suala lingine linahitaji tume huru 100% lakini hata baada ya uchaguzi system ya kimahakama iwe sehemu pekee ya mtu kukimbilia haki akiona amekosa sehemu ndio msingi bora wa amani.
Wewe nae mtu mzima lazima lakini unaandika maujinga tu kila uchwao hapa jf.Mkuu andoza , ama kweli tuna watu wana macho lakini hawaoni, na masikio lakini hawasikii!, hivi maendeleo yote haya yanayofanyika na yaliyofikiwa hadi Tanzania kuingia nchi ya uchumi wa kati hautaoni?!.
Hebu panda gari pita Ubungo uone mambo!.
Uchaguzi 2020 - Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli
midege ile hujaona?
SGR?, Stigler?, etc, etc
P
Sababu ya msingi ya kutoa tamko hilo ni nini ?Kwa nini mnazusha!!! Ilisemwa kila mwanasiasa afanye siasa kwenye eneo lake la uwakilishi!!! Hapo uzuiaji unatoka wapi!?
Acha lolote litokee .tutaanza moja kujenga taifa letu .tupigane tuuwane kisha tujirekebishe .nchi nyingi zenye viongozi wapumbavu zilipita huko na sisi lazima tupiteWanabodi,
Hili ni bandiko la security alert lenye hoja 54 kati ya hoja hizo, hoja 33 ni maswali ya kiusalama kuhusu taifa letu Tanzania.
Angalizo Kuhusu Security Conscious
Ulinzi wa taifa sio jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama pekee bali ni jukumu la kila Mtanzania Mzalendo wa taifa lake. Hakuna hujuma yoyote kama ugaidi, inaweza kupangwa na watu wa nje bila ushirikiano na watu wa ndani.
Security Conscious ni uwezo wa kuinusa hatari ya usalama wa taifa kwa mbali kabla haijatokea, hivyo hili ni bandiko la kizalendo la kutoa angalizo kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, kuwa kuna kitu hawa mabeberu wa Marekani wanakipanga kuhusu Tanzania kwa siku zijazo, sasa ili kukihalalisha, wanapenyeza watu wao kwa makini kabisa na very strategically kutafuta local collaborators ili muda muafaka wa kufanya yao ukifika, hao local collaborators ndio watatumiwa na kuonekana ni Watanzania wenyewe.
Mpango wenyewe uko hivi:
Jumatatu njema
- Kuna mambo ya jinsi rais Magufuli anavyoendesha nchi, Wamarekani hawapendi.
- Wamarekani wanalazimisha modal yao ya demokrasia iwe ndio standard democratic modal kwa nchi zote, bila kuzingatia Tanzania tuna modal yetu ya demokrasia ambayo ni part of African Democracy, ambayo inaruhusu nchi ya vyama vingi, kufanya uchaguzi wa vyama vingi na chama kimoja kupata ushindi wa 99.9% na uchaguzi ukawa ni wa kidemokrasia, huru na wa haki kama ilivyo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Wao mabeberu hawa wa Marekani hawataki kukubali hilo
- Kufuatia ushindi wa CCM wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, na sasa ndicho kinachokwenda kutokea kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, ili hili lisitokee, Marekani itatumia fedha nyingi sana kufund political dissidents ili kuonyeshea dunia jinsi rais Magufuli anavyopingwa.
- Baada ya ushindi wa kishindo cha asilimia 90+% kwa rais Magufuli na CCM, kwa uchaguzi wa mwaka huu, kuna watu watapangwa kuleta chokochoko na vitendo vya kigaidi, hivyo kupitia mkataba wa ugaidi na Marekani, Marekani inaweza kuingia nchi yoyote kwa kisingizio cha kusaka magaidi ila lengo lao sio kusaka magaidi bali ku fund dissidents kum distabilize Magufuli.
- Pia Marekani inataka kulazimisha human rights records zake kuwa ndio standards records kitendo cha kumzui Makonda kuingia Marekani, mlengwa sio Makonda, Makonda ni chambo tuu, lengo ni kuichafua taswira ya nchi yetu kimataifa tuonekane tuna bad human rights records, wakati kiukweli Marekani ina worse human rights records kuliko sisi!.
- Katika utekelezaji wa nia hii ovu, Marekani kwa kutumia taasisi zake, imeanza kusambaza taarifa za uongo na uchochezi kwa kudai kuwa serikali ya rais Magufuli inaendeshwa kwa mfumo Kistu hivyo ku fund Muslim extremist na fundamentalists kuwa magaidi na kufanya vitendo vya kigaidi.
- Tayari baadhi ya Taasisi za Kimarekani zimeanza kuandika utabiri wa kuibuka kwa ugaidi Tanzania baada ya rais Magufuli kushinda.
- Mtanzania Mzalendo mwenye security conscious akisoma mahali na kubaini kuna kitu ambacho sio kizuri kinapangwa dhidi ya nchi yake, jukumu lake ni kusema tuu alichokisoma na anacho kiona.
- Ni jukumu la vyombo vyetu vya usalama, sio kuzingatia kila kinachosemwa mitandaoni kuhusu usalama wa taifa letu lakini pia wakisikia kitu sio kuzipuuzia.
- Mimi kama Mzalendo nimetimiza wajibu wangu, sasa niwapeleke kwenye makala yenyewe ya bandiko hili ambayo imetokana na bandiko hili la mwana jf dada yetu al maaruf kwa jina la Faiza Foxy USA yaendelea kuichimba Tanzania
- Hoja hizi 54, zenye maswali 33 ni maswali ya msingi sana, japo kuna hoja za urongo humu sio za kuzizingatia, lakini pia kuna hoja za ukweli, sio za kuzipuuzia
Paskali
Mkuu Saint Ivuga , haya sio malalamiko hili ni angalizo tuu.Paskali.
Nenda Polisi katoe malalamiko yako
Hawa hawa na Magufuli wao wanakwambia serikali za majimbo zitaleta ubaguzi wakati wao wenyewe kabla hata ya uwepo wa hizo serikali za majimbo wameanza kutugawa kwa lazima tena.Zingatia kwamba,Mtanzania anao uhuru wa kuishi popote na kufanya chchote mradi havunji sheria za nchi.Sasa unaposema Eneo lake lazima uweke sawa eneo lake ni lipi?Huwezi kuchanganya Mikutano ya Wabunge na mikutano ya wanasiasa.Wanasiasa sio lazima wawe wabunge/madiwani.
Huwezi kuzuia Mwanasiasa ambaye pia ni Mbunge kushiriki katika shughuli kisiasa popte Tanzania kwa sababu tu yeye sio wa eneo hilo hio ni kinyume na katiba.Kwa ufupi Kauli hio ilitafsiriwa kama uminyaji wa uhuru wa watu ambao huo ndio ukweli wenyewe.
Braza wewe ni mnafki mnoooooooo, huwa nikikuangalia kwenye yale maonesho ya Nanenane unavyojifarangua utafikiri sio wewe.Mkuu Saint Ivuga , haya sio malalamiko hili ni angalizo tuu.
P
Naunga mkono hoja hii
Tanzania is a Sovereign State, kamwe tusikubali kuingiliwa mambo yetu ya ndani.
Uchaguzi ni mambo ya ndani
P
Mbona ni Wasukuma tu tena wale wenye Njaa ndo wanaona mafanikio ya Msukuma mwenzao yaliyopatikana ndani ya miaka 5? Ni wao tu na maCCM ndo wamepewa macho ya paka ya kuona SGR imefika Morogoro kwetu tangu Novemba, 2019 na umeme wa Stiegler's wananchi wa Kibiti wanafaidi na Wasukuma wa Chato sasa wanasafiri kwa madege badala ya Musukuma Bus Service?Mkuu andoza , ama kweli tuna watu wana macho lakini hawaoni, na masikio lakini hawasikii!, hivi maendeleo yote haya yanayofanyika na yaliyofikiwa hadi Tanzania kuingia nchi ya uchumi wa kati hautaoni?!.
Hebu panda gari pita Ubungo uone mambo!.
Uchaguzi 2020 - Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli
midege ile hujaona?
SGR?, Stigler?, etc, etc
P
Akachukue RBPaskali.
Nenda Polisi katoe malalamiko yako
Unatakiwa kufahamu njaa ni kitu kibaya sana. Kwasasa siyo yeye ni njaa hiyo . Wewe mchukulie PASCO kama MUSIBA aliyechangamka.Braza wewe ni mnafki mnoooooooo, huwa nikikuangalia kwenye yale maonesho ya Nanenane unavyojifarangua utafikiri sio wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app