Seduce kupigwa kwenye gwaride la heshima kama siyo habari hivi?

Seduce kupigwa kwenye gwaride la heshima kama siyo habari hivi?

Nani anayetakiwa kuipa kipaumbele?

Kama yeye mwenyewe hajitangazi, usitegemee mtu baki atakutangaza.

Huu siyo ulimwengu wa kizuri chajiuza, siku hizi vyote vizuri na vibaya vinajitembeza.
Kizur chajiuza bro na ndo maana best naso hasikiki anasikika marioo,pokea ukweli mchubnu huo seduce imepenyaaaaa
 
Wabongo tunapenda kuonewa huruma,mpaka pasipo hitaji huruma,watu wakikukaushia lawama zinaanza,wakati kitu ulikuwa na uwezo kukipush ww mwenyewe.
Shida kuna makenge wanajifanya hii industry inashikwa na mtu au kundi moja tu bongo hapa, na lengo la huu Uzi ni kuwajulisha kwamba heshima ya bongofleva inaletwa na wengi pamoja na KING ambaye wamekuwa wakimdhihaki Kila siku OVA.
 
Ifike hatua tuwe waelewa hakuna cha ajabu hapo.. hicho ni kitengo cha burudani tu hakuna la kushtukiza Wala msiwe kivile mnamind mnataka kila siku wawe wanapiga nyimbo za huzuni let them support na kutoa burudani inapowezekana..
Ulielewa vizuri?..bt sawa
 
Habari zake zipi ? juzi Mondi alipost album ya Konde kama kuipromoti mkaponda humu "mnafiki ,anajipendekeza.." ww ukiwa mmoja wapo,kijana wa watu kakaa kimya mnasema "ana roho mbaya" (sasa sijui afanyeje) ,pili mbona hata airtime anapata Wasafi fm na tv,tena naona kwa Tz ndio msanii anayepewa airtime ya kutosha kwenye radio zote kubwa,kuliko wasanii wote including wasanii wa WCB.

Kwanza hiyo show ilikuwa kabla ya Harmo hajatoka WCB ,ila sasa ametoka manake amemalizana na WCB na anajitegemea mwenyewe na ana timu yake,kazi inabaki kwao kumpush mtu wao,kwa hiyo hata akitetereka WCB hawana lawama wao wana deal na projects zao (wasanii wao).

Mbona mondi anajipost sana yy mwenyewe kwenye accounts zake,endapo akisifiwa na ikulu tena mara nyingi na mnaponda "lijamaa linapenda sifa" ,ila mwenzenu kishaji promote.

Sawa sawa sasa hivi umlaumu Don Jazz kwa nini hapost habari za Tiwa Savage,wakati sasa hivi Tiwa hayupo chini yake huu ulimwengu wa biashara nipe ni kupe,kama huwezi push mwenyewe kazi zako na watu wako platforms zipo kibao.
SIWEZI SOMA HUU "MGAZETI"
 
Back
Top Bottom