Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Ingekuwa CAG Assad kusingekuwa na hayo mapambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo watumishi watembee wanayumbisha vichwa kwa burdani ya qaswida?😂😂😂😂Nyoosha hoja Qaswida zipigwe mapokezi zote za ofisi kipindi cha mfungo twende sawa
Unatukumbusha mbali jamani!
Ingekuwa ni agizo amelitoa JK muislamu, shughuli yake ingekuwa kubwa, Angeitwa mdini na lile kanisa kubwa lingetoa tena Waraka!anyway duniani hakuna haki