Sefue: Marufuku kutengeneza kadi za Christmas/Mwaka Mpya kwa gharama ya Serikali

Sefue: Marufuku kutengeneza kadi za Christmas/Mwaka Mpya kwa gharama ya Serikali

Mtoa mada ana hoja ila kwa watu mlokufa kifikra na mshakuwa brainwashed na hizo dini mtamuona kama mdini Cha ajabu utakuta na yeye ni mkristu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unaona ni sawa kijadili kijambo kidogo kama hicho?Utaeleza tujadili mafaili,mafagio,moppers,dustbins,rims,computers,office-chairs etc kwa kutojiamini!Kila kitu mnawaza kuibiwa ndiyo maana mnakufa mapema.Ninyi ni watu wabaya lazima mfe mapema!
 
Back
Top Bottom