Sefue: Marufuku kutengeneza kadi za Christmas/Mwaka Mpya kwa gharama ya Serikali

Sefue: Marufuku kutengeneza kadi za Christmas/Mwaka Mpya kwa gharama ya Serikali

Hivi mtume na wafuasi wake walikuwa wanajilipua au kuua wapita njia?
Kabla ya kuuliza swali unatakiwa japo utumie kichwa mara moja kufikiri.
Miaka 1500 iliopita ktk ulimwengu huu wachilia mbali Kulipua mtu. Hata kiitwacho mlipuko ilikuwa Bado hakija gunduliwa. Hata hio baskeli mnayotumia hapo nyumbani kupelekea dada zenu kwenye michiriku hazikuwepo!

Hapa ni sawa na kumuuliza "eti baba wakati wa vita vya kagera mlikuwa mnapata wapi Vocha za Tigo?

Ukitegemea Umeuliza la maana.

Mitoto ikishakosa malezi ni shida tu.
 
Nilikua nashangaa ikifika christmass ofusi za umma zinapambwa sana kumbe pesa zetu ila kadi za kutakiana iddi njema wao waislamu walikuwa wananua wenyewe duuuuu..dhulma ilioje hii wakiongea mnasema wanawaonea gere bado kuna mengi mh raisi ..

Mbona kufuturisha mwezi mtukufu husemi?
 
Tshirt zina umuhimu wake mkuu llabda watafute njia mbadala za kupata tshirt hizo kwa kalenda nakuunga mkono

Hakuna umuhimu wowote mangi, wafanye kazi tuone raia wakipata huduma, huo ndio mpango mzima. Sare waachie watoto wa shule!
 
Raisi akiandaa futari pesa anatoa mfukoni?
Kabla ya kutopoka unatakiwa Ukachunguze kwanza.
Mimi binafsi naweza kulisha watu 50 mpk 100 mlo mmoja itakuwa ajabu ipi kwa Rais kutoa pesa zake mfukoni kulisha mlo mmoja watu 20 mpk 30?

Wagalatia mmezoea vya Bure awamu hii lzm mkatafute kazi ili mlipie hayo makaratasi yenu. Sio kukinga mikono tu mkisubiri Kodi zetu.
 
Kabla ya kutopoka unatakiwa Ukachunguze kwanza.
Mimi binafsi naweza kulisha watu 50 mpk 100 mlo mmoja itakuwa ajabu ipi kwa Rais kutoa pesa zake mfukoni kulisha mlo mmoja watu 20 mpk 30?

Wagalatia mmezoea vya Bure awamu hii lzm mkatafute kazi ili mlipie hayo makaratasi yenu. Sio kukinga mikono tu mkisubiri Kodi zetu.

Ucpanic....unajua rais ni taasisi? Anapoandaa chakula pale ikulu ovsly anatumia kodi ya wtz ukiwemo wewe?
 
Ucpanic....unajua rais ni taasisi? Anapoandaa chakula pale ikulu ovsly anatumia kodi ya wtz ukiwemo wewe?
Teh teh teh.
Unajua maana ya Panic kijana?
Leta Data hapa Jukwaani, sio blah blah.
Hakuna asiejua kuwa Rais ni muwakilishi wa Nchi lkn Dhana ya kusema Kila anachokitoa ni lzm kiwe Kimetoka ktk kodi za wananchi ni upofu wa mawazo.
Someni vijana, kuropoka waachieni walevi.
 
attachment.php

Vipi Calendar?
 
Serikali iendelee kupekua.
Isije ikawa na ile miti ya ajabu ajabu ya Christmas tunalipia Sisi.

Huu ni upuuzi uliopita kiasi.
Kadi aanzishe Mzungu. Wanaoiga wagalatia weusi km mimi! Kisha Manunuzi yafanyike kwa Kodi yangu.
Duhh.

Kwanza Serikali Inatakiwa Iseme kwanini hii habari Wananchi hatukuambiwa Mapema?
Ina Maana toka Nyerere yuko Hai haya makadi tunalipia na Sisi tusiokuwa WAKRISTO!

Hii kesi mpya.
 
mkuu haya angeyafanya Kikwete hamna rangi tusingeacha kuiona humu kwa kutukanwa na kuitwa wadini. lakini hii inanionyesha kuwa huu mfumo unafuja sana hela za umma. na walaaniwe kwa haya wayafanyo wakati kuna watanzania wanaishi kwenye dimbwi la shida zisizoelezeka kwa maneno ya kawaida.


Na lile lisanamu la faza krismas linaveshwa nguo nyekundu kila mwaka linakaa maofisini utadhan ofiz za umma ni makanisa magufuli hakikisha zinaondoka zile.

Safi sana maana angefanya kikwete wangesema ni mdini.

Haya sasa Tuone.
 
Imekaaje hii?. CAG angalia na hilo
 

Attachments

  • images (52).jpeg
    images (52).jpeg
    26.6 KB · Views: 3
Back
Top Bottom