Sefue: Marufuku kutengeneza kadi za Christmas/Mwaka Mpya kwa gharama ya Serikali

Sefue: Marufuku kutengeneza kadi za Christmas/Mwaka Mpya kwa gharama ya Serikali

mHHH, SASA SISI WENYE KAMPUNI ZETU ZA MIFUKONI A K A "GENERAL SUPPLIES" TUTAISHI VIP NA TENDA ZA KIJANJA ZISHAFUNGWA? CHONDE CHONDE TUTAHAMA MJINI SASA
 
apige marufuku na uvaaji wa nguo fupi,na ikiwezekana waamrishwe wavae na hijab!nimemaliza
 
Hata vitafunwa mbona budget ni kubwa sana. Watu waje na mabumunda yao, au keki, kiporo n.k
Hapa ndiyo nitajua huyu jamaa yupo serious, sio hata vikao vya dakika 5 lakini mabeseni ya kababu na sambusa, chapati na trupa !! Sijui tulilogwa na nani !! Watu wanakula kababu na supu huku hospitali hazina dawa, maji au mashuka !!
 
hii iwe endelevu, na hizo pesa kwelii zikafanye mambo ya msingi na ya kipau mbele
 
Na lile lisanamu la faza krismas linaveshwa nguo nyekundu kila mwaka linakaa maofisini utadhan ofiz za umma ni makanisa magufuli hakikisha zinaondoka zile.

Safi sana maana angefanya kikwete wangesema ni mdini.

Haya sasa Tuone.
 
Sasa ina faida gani?
This is cheap popularity.
Ndo yale yale ya kufuta sherehe ya kuhamasisha upimaji vvu katika siku ya Ukimwi Duniani ili kuokoa milioni 20 shilingi.
Mi naona hapa wanacheza na vyombo vya habari ili kutuhadaa wapiga kura.
 
Daa kumbe na kad za xmas, mwaka mpya!!
serikali ilikua inalipa!!!
Bado kidogo tutasikia na kad za best wishes zilikuwepo!!
 
Kama ilivyo la kadi pia hili la kufuturisha kwenye ofisi za umma lilikuwa linatia hadi kichefuchefu. Mambo yote yenye "vimelea" vya udini kwenye ofisi za umma tupa kule. Marufuku magari ya serikali kuonekana kwenye nyumba za ibada unless kuna msiba unaohusu ofisi kama mfanyakazi kufariki au kufiwa na sio siku zenu za ibada.

Serikali haina dini, wanaotaka kwenda kuabudu waende kwa gharama zao na sio kutegemea rasilimali za Serikali kukamilisha ibada zako. Awamu hii ijitahidi kulifanya taifa hili kuwa secular kweli kweli ili kuondoa choko choko za kijinga kama nani achinje na nani asifanye hivyo.

Na ule msikiti pale ofisi ya Makamu wa Rais nao ni 'jipu' linalopaswa kudusuliwa....
 
Ndugu zangu katika imani kwa mwendo huu sidhani kama mwakani tutapata futuru pale ikulu. Yalabi tobaa tuepushe sie waja wako na hichi kikombe cha pombe.... Amin

Ndugu mgalatia mmezoe kutafuniwa miaka yote. Awamu hii lzm mtafute kwa jasho lenu.
Kupenda sana bure haifai.
Mtakuja adhirika namna hii.

Kwanza huu upuuzi wa kadi mnaiga wazungu tu.
Toka lini sisi waafrika tukapeana kadi?
Ndo nyie mnaoacha kuchambia maji mnatumia makaratasi kisa mzungu kafanya.
 
pia kuna kabila flani ivi....linatumia pombe ya kienyeji inayochanganywa na MAVI ya binaadam, nimelisahau hukohuko kaskazini! rais wangu fatilia hao watu sio wa kuwaacha!
 
Da hii nihatari kadi zinamaliza pesa badala ya kufanya vitu vys msingi! Big up Sefue na endelezen mapambano
 
Hivi mtume na wafuasi wake walikuwa wanajilipua au kuua wapita njia?

Alokwambia uislamu umeruhusu kujiripua ni nani,wanaofanya hivyo ni sawa na mkristo anaekula nguruwe dini yake hairuhusu ila anafanya kwa uroho wake,rejea mambo ya walawi.
 
Mimi sijaelewa,kwani Serikali ilikuwa inachapisha XMAS card kuwapongeza wakina nani?
 
Alokwambia uislamu umeruhusu kujiripua ni nani,wanaofanya hivyo ni sawa na mkristo anaekula nguruwe dini yake hairuhusu ila anafanya kwa uroho wake,rejea mambo ya walawi.

Unajibu hoja yako uislam kwakuuzungumzia ukristo....hata hivyo kula kiti moto si sawa na kutoa roho za watu wasio na hatia au kuoa watoto wa watu kinguvu
 
Back
Top Bottom