Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kwa hiyo watumishi watembee wanayumbisha vichwa kwa burdani ya qaswida?ππππNyoosha hoja Qaswida zipigwe mapokezi zote za ofisi kipindi cha mfungo twende sawa
Unatukumbusha mbali jamani!
Ingekuwa ni agizo amelitoa JK muislamu, shughuli yake ingekuwa kubwa, Angeitwa mdini na lile kanisa kubwa lingetoa tena Waraka!anyway duniani hakuna haki