Segerea: Wabunge wa CHADEMA Ester Bulaya, Ester Matiko na Halima Mdee waachiwa. Wasema sasa ni saa ya ukombozi Tanzania

Alijua faini yake ni kubwa kuliko wote,angekuwa anatakiwa kutoa mil 2 angeanza yeye wengine wakafuata
 
Mchungaji mwema wa kondoo hukaa mbele ya kundi la wanakondoo.....lakini mchunga mbuzi hukaa nyuma.

Kwahiyo Mbowe anasubiri akachangishiwe na akina Easter?!
 
Mchungaji mwema wa kondoo hukaa mbele ya kundi la wanakondoo.....lakini mchunga mbuzi hukaa nyuma.

Kwahiyo Mbowe anasubiri akachangishiwe na akina Easter?!
Kwahiyo ulitaka atoke awaache kina Ester jela.
 
Alijua faini yake ni kubwa kuliko wote,angekuwa anatakiwa kutoa mil 2 angeanza yeye wengine wakafuata
Yeye sio shetani kama nyie msio na aibu. Hebu mpaka Leo bado mmesimamia eti Rais ndio kamlipia Msigwa faini! Kisa mmekamata redio na magazeti yote yanatangaza mpendayo.
Lakini msichojua ni kuwa hata vijijini sasa smartphone zipo na watu wanaujua ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafahamu mashetani wangapi wanaoweza kutoa mil 38 hapa duniani
 
Jiwe kamuona ndugu yake tu, kasahau kuwa kwa cheo chake watanzania wote ni ndugu zake.
Hata huo undugu ni wa kulazimisha tu , eti mtoto wa dada sijui kaolewa na nani ! huo undugu wa wapi aiseee ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…